Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kila nikisema niangalie series au muvi ndani ya dakika kumi tu usingizi huu hapa. Wakati zamani nilikua seson 1 naimaliza kwa siku...Daah the empire has fallen walah.🥺
Kweli kila kitu na wakati wake
5595.jpg
 
I will find you’ mmeicheck? Ni nzuri?

Kila mtu na taste yake ila ,plot zake za kitoto sana, naona wengi wanaisifia ila mimi niliifuta baada ya kuangalia episode 3 tu.
"Hiyo ndio beauty yake mkuu. Si kila kitu lazima kiwe na misingi 3 na thesis. Wakati mwingine unataka tu kicheko, kilio na drama ya kijinga ya kusahau stress za maisha.

"Kama kwako plot ya kisasi + siri za familia + mtu kutafuta mpenzi wake aliyepotea ni kitoto, basi hata Romeo na Juliet pia ni kitoto. Hii series inagusa loyalty, trauma na forgiveness. Labda hujafika kwenye twist kubwa bado."
Mkuu wewe endelea na documentary za quantum physics. Na michezo yako ya twilight saga...

Umeangalia Ep 3 tu unalalamika
Wengi husema "kitoto" wakiwa bado episode 2 au 3. Twist kubwa huanza episode 5-6.

Hata ukiaangali rate ya kila episode kuanzia ya 4 mpaka mwisho zote zimescore 8.9-9.2

Sasa Leta TV show yako inayoendelea kutoka yenye zaidi ya hizo rate ukiitoa Lucky,House of dragon,agent Kim, SILO na fighland ya 50cent..
Kama hujaitaja Green Lantern😆
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom