Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,614
- 18,606
Namkubali sana huyo mzee na mzee Sylvester Stallone, lazima niangalie movies zaoHumu anakimbiza magari kama kijana wa miaka 24😂. Ila kuna drama sana ila generally movie kali
Namkubali sana huyo mzee na mzee Sylvester Stallone, lazima niangalie movies zaoHumu anakimbiza magari kama kijana wa miaka 24😂. Ila kuna drama sana ila generally movie kali
Mkuu iyo app gani unatumia na mimi naitaji pleaseLeo mtandao uko poa sana
View attachment 3662331
Hizi zitanifaa weekend hii.
View attachment 3662332View attachment 3662333View attachment 3662417
Mkuu, mbona hii REEZN inagomea sehem ya ku choose language? Haiendelei kwingine zaidi ya hapo.Hii app ni noma hadi mpira?
Mtajijua wenyeweYan SILO ilivyoisha ni very disappointed
Imeisha imeisha au kuna msimu mwingine??Yan SILO ilivyoisha ni very disappointed
Tunasubili season 4 ambayo ndo itakua final , na uzuri apple wameshamaliza kushoot huo mzigo so mwakani tunamalizana nayoImeisha imeisha au kuna msimu mwingine??
Nasubiri iishe ndio niiangalie kwa utulivu kabisaTunasubili season 4 ambayo ndo itakua final , na uzuri apple wameshamaliza kushoot huo mzigo so mwakani tunamalizana nayo
Maximo ana misifa humu😀View attachment 3662402
Mzigo upo hewani ukiwa na episodes zote 8 😋.
Pakua hapa
Kama hukuwahi kuiona anza na season 1 zote zipo hapo
Inaonekana tamu sana hiiWeekend yako isikae kinyonge chukua single movie hiyo, mpya kutoka Apple
Ipo season 4 ni 2028Imeisha imeisha au kuna msimu mwingine??