Series (Special thread)

Series (Special thread)

Namshukuru Mungu kiukweli, naomba tu wasini dissapoint wataniumiza mno..! maana kitu kikiwa kizuri wakilazimisha kurefusha wanajikuta wanaharibu..!
Wamekwaza
Mallory alimshoot Norman.. Norman kalala hapo chini uelekeo wa kufariki.. wakamuita Horace.. wakatudanganya kummpa nguvu Norman za kumshoot Horace

Imeisha ikihang.. sijui wataendelea au vipi
 
Ili mradi watuchanganye..

Alex unyama ni mwingi😹 kanifurahisha
Imeisha kishamba mbona? Au wataongeza Ep? Muisho gani huu jamani

Nmependa Syliva kuuliwa na Jules
Maana hakasikii ya wakubwa
Angebaki kwa Horace saa ngapi wangekaua?
Mtoto mahenzi mno yule hasikii la muazini wala mnadi swala! Jules anapita na Rain aisee sio kwa hizi hasira!😅

Charles mtoto msenge huyu! Eti naye ana slay kwa Varney, scense zao zinahitaji moyo mimi nilitamani pale kangekufa tukapumzika kuangalia mapenzi yao😂
 
Wamekwaza
Mallory alimshoot Norman.. Norman kalala hapo chini uelekeo wa kufariki.. wakamuita Horace.. wakatudanganya kummpa nguvu Norman za kumshoot Horace

Imeisha ikihang.. sijui wataendelea au vipi
Horace kila season anatutishia kufa mpaka nishachoka! Sema nilipenda ngumi za norman na mallory😂
 
Netflix wanatudorishia NEMESIS wanatoa season mpya. Bora maana nayo iliishaga juu juu
IMG_4372.jpeg
 
Wamekwaza
Mallory alimshoot Norman.. Norman kalala hapo chini uelekeo wa kufariki.. wakamuita Horace.. wakatudanganya kummpa nguvu Norman za kumshoot Horace

Imeisha ikihang.. sijui wataendelea au vipi
hiyo kitu ilikuwa imeisha, fan wakalazimisha iendelee, so they had to prolong the story, watajaribu kutia kila aina ya drama ili isije kuwa flop, hapo kuna Part 2 wataendeleza, hawawezi iachia njiani bila closure..!
 
Kila nikisema niangalie series au muvi ndani ya dakika kumi tu usingizi huu hapa. Wakati zamani nilikua seson 1 naimaliza kwa siku...Daah the empire has fallen walah.🥺
Kweli kila kitu na wakati wake
View attachment 3656856
Dah kaka tupo wote aisee, m pia nimeanza kupata hii kasumba nikijitahidi sana episode moja tu mambo yanabadilika sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom