Series (Special thread)

Series (Special thread)

Attachments

  • FB_IMG_1787471584794.jpg
    FB_IMG_1787471584794.jpg
    95.4 KB · Views: 3
😁😁
Vincenzo Jr ndiyo huwa anataka kushuhudia huo muujiza wa Neagley..! Mimi kwa hapo siungi mkono pia, ila hao wadada warembo warembo anaowasaidia, wakikubaliana asiwaache..!
Labda kama waandishi wa series waamue kuchakachua mambo kupindukia, ila Vincenzo Jr atasubiri sana 😀 😀 😀 .Inasemekana Neagley ni asexual so hana hisia wala hamu ya kufanya hayo mambo kabisa 😀😀😀.

Ila Reacher huwa hawaachii warembo. Kuna wale wanaofanya naye kazi ambao anajikutaga tu yuko nao kimapenzi, na kuna kuwaga na warembo anaofikiri ni wema na anawasaidia kumbe kiuhalisia ni maadaui na wanajigonga kwake ili awaamini kwamba ni wema. So hapungukiwagi na warembo, ila siyo Neagley.
 
Sifahamu nimetoa tu cover mahala sijui stori yake ndani ipo vp embu Vincenzo Jr. Idadavue hii
Inamuhusu mwana mmoja hivi alikuwa anakaa kwenye mazingiza hovyo huko paris yaani mazingira machafu sasa mwana anakipaji cha kunusa sana ila hana hisia anakuja kutengeneza pafyumu ambayo alikuwa anawatoa roho mademu ili pafyumu inukie zaidi na pafyumu hiyo ilipendwa sana na wadau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom