Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 27,119
- 78,869
Khee! Hapana acha nijikune mwenyewe tu patakapowasha😁Sasa ukuje tuitazame leo usiku huku Goba, hii series itakukuna halafu na mimi nakukuna😋
Khee! Hapana acha nijikune mwenyewe tu patakapowasha😁Sasa ukuje tuitazame leo usiku huku Goba, hii series itakukuna halafu na mimi nakukuna😋
Haina hata kidogoHaina matusi 😀
Hii week nipo na watoto
Ngoja nivimbiwe afu niianzeKitu piru.. kinaitwa Nemesis iko netflix, ina Ep 8
Crime- action- sex- nudity.
Mpelelezi wa LAPD anajaribu kumkamata mwizi, jambazi kuu lenye akili nyingi sana.. linafanya matukio afu haliachi ushahidi..
Njoo basi twende Movie 😋🤗Ngoja nivimbiwe afu niianze
Shoo
Inahusu niniHD imetoka
Tuma nauli na uhakika wa kula kulala siku 2 tu, afu mbona dadako sina hata gharama!Njoo basi twende Movie 😋🤗
Nimekumiss
Sijaacha kukupenda..
🙊🙊
Unalala kwangu binti 😂Tuma nauli na uhakika wa kula kulala siku 2 tu, afu mbona dadako sina hata gharama!
Ngoja niweke kwenye listAfu kuna movie moja ni series niliionaga zamani nkaishia hawajatoa S2 sjui vile.. inaitwa fire country.. ilinibambaga sana
Ni hii.. naona S2 tayari View attachment 3593525