Season 1 kuna character mmoja tu ambaye alicheza kwenye Money Heist ambaye ni Berlin tu.
Characters wengine wote ni wapya.
Umeisahau kabisa hii series tuliiweka mjadala sana hapa jamvini mwaka juzi?
Kunbuka basi hata ile scene ya Berlin na crew yake walipanga hoteli ambayo ipo mkabala na ghorofa ambalo kulikuwa na mtu ambaye ni kama mtunza hazina wa benki waliyekuwa wamemuweka kwenye target za kufanikisha jambo lao la wizi.
Then Berlin katika harakati za kumchunguza huyo jamaa akajikuta ameingia kwenye mahusiano na mke wa huyo target.
Mwisho demu alikuja kuingia kwenye hoteli ya jamaa bila kutoa taarifa then alipofika ndani akakuta ma scope yameelekwezwa kwenye apartment aliyokuwa akiishi.
Hapo ndip akaja kugundua kuwa haikuwa ni upendo ila alitumiwa kama njia ya kufanikisha lengo la wizi.
Mpaka hapo hujakumbuka tu?