Series (Special thread)

Series (Special thread)

L
Series: PRISONER
Hii ni series ya 2026 ya waiengereza ina jumla ya episodes 6 hiko hivi escort ya magari ya police wanatumwa kumsafirisha mfungwa mhalifu ambaye ni shahidi pekee aliyebaki kutoa ushahidi dhidi ya Taasisi alivyokuwa anafanya kazi wakiongozwa na askari mdada mrembo sasa wakati wanamsafirisha wanashambuliwa na magaidi inapelekea huyo mdada askari anashirikiana na huyo shahidi mfungwa kukabiliana na hayo magaidi.Kama mnavyojua waiengereza huwa wakosei hii ni machine ya maana kabisa kila episode ikiisha unatamani inayofuata
link
 
Kitu piru.. kinaitwa Nemesis iko netflix, ina Ep 8
Crime- action- sex- nudity.
Mpelelezi wa LAPD anajaribu kumkamata mwizi, jambazi kuu lenye akili nyingi sana.. linafanya matukio afu haliachi ushahidi..
IMG_0212.jpeg
 
Si kareem? (Mathew law) halafu sharon alimkataa rais wala hakuwa demu wake! Ndio huyohuyi kwenye sisters anatabia za ki-gay!
Hahah yeah ni Kareem, Ila nadhani hua wana act tu. Mfano kuna huyu Hoon Lee ni gay kwenye series ya Banshee ila jamaa ni mwamba sana ukiangalia series zake nyingine kama Your friends and Neighbours, See na Warrior
MV5BZTQ4YzIzYmMtMGM2Ny00MWM5LTlhNzItZjA2N2Y3MTFmNDVlXkEyXkFqcGc@._V1_FMjpg_UX1000_.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom