Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kitu piru.. kinaitwa Nemesis iko netflix, ina Ep 8
Crime- action- sex- nudity.
Mpelelezi wa LAPD anajaribu kumkamata mwizi, jambazi kuu lenye akili nyingi sana.. linafanya matukio afu haliachi ushahidi..
Story yake Kali hii nitaicheki ni aina movie zangu. Asante sana mama me napenda sana movie zenye story bila kujali ina action au haina
 
Story yake Kali hii nitaicheki ni aina movie zangu. Asante sana mama me napenda sana movie zenye story bila kujali ina action au haina
Ep6 nipo
Mamaaaa… kuna moto umetembezwa hapo ni balaaaaaa. Imagine baba ako anaenda kushiriki kwenye ujambazi.. afu we ni police

Vipi mkikutana kwenye eneo la tukio, utamuwasha moto? 🔫🔫

Au utakumbuka venye ulitoka kwenye kiuno chake 😀😀

Sema mi officer ya LAPD mibaba mizuri zuri Seran 😋😋
 
Picha ya mibaba please🤤
 
Sasa nilale ndio nimeimaliza
Ila sijapenda ilivyoisha.. jambazi kuu lilimzidi akili polisi mpelelezi, dk za jioniiiiii linapata upenyo wa kukimbia maana police alibaki na opt ya kumsaidia mtoto wake aliye🔫 au amalizie kumkimbiza jambazi 😀😀

Nisikumalizie uhondo.. humo ndani pia kuna cop snitch anaewasiliana na yule jambazi. Naweaza kuipa 9/10 wallaqh. Ni nzuri..

Wanaweza toa S2. Maana netflix ikiwa haina muendelezo uwa wanaandika limited S1

Story yake Kali hii nitaicheki ni aina movie zangu. Asante sana mama me napenda sana movie zenye story bila kujali ina action au haina
 
Sasa nilale ndio nimeimaliza
Ila sijapenda ilivyoisha.. jambazi kuu lilimzidi akili polisi mpelelezi, dk za jioniiiiii linapata upenyo wa kukimbia maana police alibaki na opt ya kumsaidia mtoto wake aliye au amalizie kumkimbiza jambazi

Nisikumalizie uhondo.. humo ndani pia kuna cop snitch anaewasiliana na yule jambazi. Naweaza kuipa 9/10 wallaqh. Ni nzuri..

Wanaweza toa S2. Maana netflix ikiwa haina muendelezo uwa wanaandika limited S1
Kwa ilivyopokelewa wataleta season 2
 
Series: PRISONER
Hii ni series ya 2026 ya waiengereza ina jumla ya episodes 6 hiko hivi escort ya magari ya police wanatumwa kumsafirisha mfungwa mhalifu ambaye ni shahidi pekee aliyebaki kutoa ushahidi dhidi ya Taasisi alivyokuwa anafanya kazi wakiongozwa na askari mdada mrembo sasa wakati wanamsafirisha wanashambuliwa na magaidi inapelekea huyo mdada askari anashirikiana na huyo shahidi mfungwa kukabiliana na hayo magaidi.Kama mnavyojua waiengereza huwa wakosei hii ni machine ya maana kabisa kila episode ikiisha unatamani inayofuata
 
Series: PRISONER
Hii ni series ya 2026 ya waiengereza ina jumla ya episodes 6 hiko hivi escort ya magari ya police watumwa kumsafirisha mfungwa ambaye ni shahidi pekee aliyebaki wakiongozwa na askari mdada mrembo sasa wakati wanamsafirisha wanashambuliwa na magaidi inapelekea huyo mdada askari anashirikiana na huyo shahidi mfungwa kukabiliana na hayo magaidi.Kama mnavyojua waiengereza huwa wakosei hii ni machine ya maana kabisa kila episode ikiisha unatamani inayofuata

Waingereza wako vizuri sana,ngoja niiweke hii kwenye wishlist
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom