Series (Special thread)

Hii hata ukiingia moviebox unaikuta juu pale
 
Baada ya mama yao kufa wanapitia msoto sana baba yao anawatesa wanaingia kwenye wizi dada mtu anakamatwa anaenda jela mdogo mtu katika kusurvive anaomba kazi ya ubeki tatu kwenye nyumba moja ya maajabu ambayo kuingia ni rahisi ila kutoka haiwezekani. Wamiliki wa nyumba ile wamekula dili na ibilisi one life for imortality kwahio ukiingia mlr unatolewa kafara ili wao waendelee kua immortal.
Baada ya miaka tisa jela dada mtu anapata parole anapambana kwenda kumuokoa dogo rasi kwenye hilo jengo. Humo kila scene ni ngumi na comedy
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    43.8 KB · Views: 19
uliwezaje kuimaliza..!? mimi nilivyoona jicho linatembea lenyewe nikashindwa walaqhi’ nikaitolea mbali..!🙌🏾
 
Hii niliiangalia sema imeka ki comedy

Hususani ile scene ya kichwa cha nguruwe kiliposema neno shit baada ya kuona demu anakuja na panga
 
Mzigo Mkali ndo nimeumaliza, hauna scene za ajabu unaweza kuangalia ukiwa na Mama mkwe... 🔥9/10🔥
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…