Series (Special thread)

Series (Special thread)

Sikuhizi nimekuwa busy hadi nashindwa kujaa chini kuangalia series ila at least movie leo naweza kuangalia moja au mbili
Movie gani kali imetoka around March hadi this time, ya Action niangalie
Kuna hii inaitwa Apex, nimeiangalia hata sijaipenda
Apex ilitoka sambamba na 180.
Apex inaboa 😀😀 ila mazingira ya movie ndio yalinifanya niendelee kuiangalia mpaka nikamaliza
 
Kali? Naona wanaipa promo sana ukiingia movie box unakuta imekaa juu pale
😀😀 kali ila si sana. Unaweza kuipenda na inaweza kukuboa..

mdada Sasha kaenda maporini kutalii apoteze stress za kifo cha mubaba wake .. anakutana na Ben, Ben anampa mpa tips za hapa na pale na njia za kuzama zaidi porini kumbe Ben ni mwindaji muuaji konki, anaua hikers ana kipango chake cha bucha la kuchinja watu..Sasha akamshtukia akaanza kumtoroka, Ben akabaki anacheza mziki.. alipomaliza kudance akaanza kumfukuzia Sasha.. So movie inaendelea Sasha akimkimbia Ben na Ben akijitahidi amnase..

Movie box wanakera.. kila mara kubadili version na sio kuweka access ya kuweza ku update.
 
😀😀 kali ila si sana. Unaweza kuipenda na inaweza kukuboa..

mdada Sasha kaenda maporini kutalii apoteze stress za kifo cha mubaba wake .. anakutana na Ben, Ben anampa mpa tips za hapa na pale na njia za kuzama zaidi porini kumbe Ben ni mwindaji muuaji konki, anakua hikers ana kipango chake cha bucha la kuchinja watu..Sasha akamshtukia akaanza kumtoroka, Ben akabaki anacheza mziki.. alipomaliza kudance akaanza kumfukuzia Sasha.. So movie inaendelea Sasha akimkimbia Ben na Ben akijitahidi amnase..

Movie box wanakera.. kila mara kubadili version na sio kuweka access ya kuweza ku update.
Hii ni apex au citadel?
 
Mi natafuta cha kuangalia in these 2 hrs
Ngoja nizame Google
Mi niko na Daredevil

Naona Google Pixel 7 imepigiwa promo hapa na mwanangu Vicent Gigante
1778174677038.png
 
Wadau nielekezeni jinsi kudownload kutoka Movie Box hii version mpya inanichanganya inarecommend nidownload app nimedownload app kwenye PC ila ina option ya kuangalia online tu kupakua hapana , nikitumia website nikifika option ya kudownload inanambia nishafikia 999 hivyo inabidi ni unlock sehemu ya ku-unlock siioni. au kama kuna web nyingine naombeni zisizoumiza kichwa sana.
 
Secret Service na Man on Fire naona zimeniongezea ‘my trust issues’, tunakoelekea tutakuwa hatuamini hata vivuli vyetu..!🙌🏾
Man on fire nimeimaliza ni series tamu. Nilichopenda ni namna mwamba anavyo jua ku extract info. Fikiria watu wengine wange focus wakati wa tukio ila yeye Ali focus matukio kabla ya tukio la kulipuliwa nyumba na hivyo akamwongoza yule mtoto kukumbuka.

Pia kule panic room alimhoji jamaa alikuwa anajifanya mgumu kutoa taarifa ila baadae akatapika zote.

Jambo la tatu ni actions. Kwenye hii series nakumbuka Ile scene ya airport.
Pale ingekuwa series nyingine wahusika wangefanga Ile scene kuwa ndio episode ya mwisho kwa utamu wake na series ingeishia pale. Ila Hawa wametupatia episodes zote tamu. Wametupatia zaidi ya tulicho tarajia.

Sasa nitfute hiyo secret service
 
umeielezea vyema sana ndugu yangu, and yes..! it’s one hell of a series, nawaza tu Je, season two watakuja na the very same ‘taste’ kama hii..!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom