Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 17,951
- 52,011
Hapana ntatafuta kesho hii mkuuSa si umeona kazi hiyo?
Umeangia Daredevil 2025
Hapana ntatafuta kesho hii mkuuSa si umeona kazi hiyo?
Umeangia Daredevil 2025
Hiyo ni kali kuliko ile ya muhindiHapana ntatafuta kesho hii mkuu
Haina noma mkuu!Hiyo ni kali kuliko ile ya muhindi
Ukipata wasaa icheki
Unapenda series za kikorea Kuna moja inaitwa Innocent defendant ni hatari humo ipo very serious una story Kali na action nzuriHiyo nilianza kicheki siku ile ile ilipoachiwa sasa changamoto ya fresh series huwa zinakuja zikiwa zimekosa baadhi ya features mpaka pale baadaye inapokaa kwa muda mrefu.
Hii ilikuja kwa mafungu nadhani imekamilika rasmi mwezi uliopita, halafu episodes za mwanzo zilikuja zikiwa katika lugha ya kijerumani na subtitles zilikuwa hhazi sync fresh
Nikaangalia kama episode 3 baada ya hapo nikaitema nikarukia Unfamiliar
Nadhani kwa humu jamvini huwenda mimi ndio nilikuwa wakwanza ku recommend hiyo series
View attachment 3586715
Hivi hiyo unfamiliar ikoje?Sa si umeona kazi hiyo?
Umeangia Daredevil 2025
Za Kikorea ndio kabisaaaaUnapenda series za kikorea Kuna moja inaitwa Innocent defendant ni hatari humo ipo very serious una story Kali na action nzuri
Shida ya ku download kupitia browser ya chrome ndio hiyoUtamu njoo utamu koleaView attachment 3586962
Unfamiliar inahusu wana ndoa wawili ambao ni former spies na uraiani wanaonekanana kama ni raia wa kawaida hata binti yao hajui kitu.Hivi hiyo unfamiliar ikoje?
Hapo wif ilikuwa imekimbia file lilimalizika mapema sana Leo inacheza kwenye 4MB/sShida ya ku download kupitia browser ya chrome ndio hiyo
2GB zinachukua mpaka masaa 4
Tumia 1DM tena ukiipata ile mod uta enjoy sana speed
Una link ya hiyo movie uiwekeUmewahi kuona starring anakufa? Basi utaona humo
Yaani mwamba kumbe umeona kama Mimi kitu huwa wanaamini comedy ni kuwa na kudekadeka, kucheka Cheka na ndio maana unaweza kukuta serious character anaweza kupewa character ya ukomedy kitu ambacho kina niboa ile mbaya ndio maana ili nicheki Kwanza movie zao huwa lazima niangalie trailerZa Kikorea ndio kabisaaaa
Ila hiyo Innocent defendant niliipenda for sure iko vizuri nakumbuka niliangalia 2018 kama sikosei ila episode ya mwisho sikuiangalia.
Wiki 2 zilizoisha niliona kwenye site yangu pendwa kuna mini series ya Kikorea ina rate 9.0 inaitwa If Wishes could Kill nikasema ngoja niicheki.
Nilipenda story japo story yake ina relate kwa ukaribu na movie moja inaitwa Countdown
Sababu kubwa ya Movies/Drama za wakorea kutonivutia ni namna ya uigizaji wao kidogo nawaona kama hawako serious yani muda wote wanacheka cheka na kudeka deka.
Kumbe ina story Kali hii nitakucheki shukrani mzeeUnfamiliar inahusu wana ndoa wawili ambao ni former spies na uraiani wanaonekanana kama ni raia wa kawaida hata binti yao hajui kitu.
Siku moja wanapokea simu ya mtu akidai ambaye anaonyesha kuwatambua uhalisia wao na kudai msaada wa kimatibabu kwasababu amejeruhiwa kwa kupigwa risasi
Wanaamua kumpeleka kwenye safe house yao kwa ajili ya kumtibia lakini huko inakuja kujulikana kwamba huyo ni spy aliyetumwa kwa ajili ya kuwaua.
Link Sina nenda website kama nkiri.ink na app ya onstream na movieboxUna link ya hiyo movie uiweke
Movie box ndio kumenichanganya huko sasa screenshot labdaLink Sina nenda website kama nkiri.ink na app ya onstream na moviebox
1080pCitadel nime-download YTS na Pirates bay naomba kuna episodes zinastaki. Naombeni link ninapoweza kushusha mzigo vizuri
GoodView attachment 3581539
Nimeangalia episode moja. Naipa 7/10
Gademit mpaka sasa bado sijafanikiwa kushusha maniac na patriot nilifanikiwa beef na Mr robotIshi kituristi 1080p kataa 720p utaungua macho mastaView attachment 3587312