Series (Special thread)

Series (Special thread)

Umeicheki memory of a killer humo kila episode ikiisha unatamani kucheki next
Hiyo nilianza kicheki siku ile ile ilipoachiwa sasa changamoto ya fresh series huwa zinakuja zikiwa zimekosa baadhi ya features mpaka pale baadaye inapokaa kwa muda mrefu.

Hii ilikuja kwa mafungu nadhani imekamilika rasmi mwezi uliopita, halafu episodes za mwanzo zilikuja zikiwa katika lugha ya kijerumani na subtitles zilikuwa hhazi sync fresh

Nikaangalia kama episode 3 baada ya hapo nikaitema nikarukia Unfamiliar

Nadhani kwa humu jamvini huwenda mimi ndio nilikuwa wakwanza ku recommend hiyo series
1778430453498.png
 
Huyo dada siku hizi hachekeshi movie zake tamu kinoma! Ukimaliza hiyo MIA inakusubiri😁
Hata hivyo sijapenda sana story yake, kuna namna naiona imekaa ki fiction zaidi.

Hususan ile episode ya 3 kwenye scene ambyo Kane alikuwa anakimbizwa kwenye ice akiwa amevaa zile ice diving shoes .

Mimi pale sikupapenda yani director alionyesha dhahiri yupo upande wa star.

Kila alichokuwa anakifanya star kilikuwa kinatokea kwa usahihi na kila walichofanya maadui kilionekana ni kazi bure.

Haiwezekani watu zaidi ya 50 wenye automated guns wako na modern war vehicle wwanakukimbiza na kila wakikulenga wanakosa na tena sehemu nyingine ni close range kabisa lakini eti wana miss.

Lakini yeye akilenga imo.
 
Yani kila alichokiwa anafanya kilikuwa perfect! Hata akipigwa hapigiki sana! Cane aliipata kipindi hajarudishiwa memory lakini yeye haikupita muda akarejeshewa memory na kupambana mwanzo mwisho! Kwakweli kuna mapungufu sema tu ni movie hakuna namna tunaitizama tu😅
 
Sa si umeona kazi hiyo?

Umeangia Daredevil 2025
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom