Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,496
- 80,682
Tizama barryIla Fargo hapan aises
Tizama barryIla Fargo hapan aises
Barry(so funny 😀 🤣)Tizama barry
Ngoja niidownloadBarry(so funny 😀 🤣)
Fargo
Black bird
Series tamu sana. Hiyo Fargo matukio yake ya bahati mbaya unajikuta tu umoo yanafanana na hii movie inaitwa the gates.
Madogo wanajikuta kwenye msala ambao hawakutegemea
View attachment 3580482
Ni nzuri kwa kupoteza muda kama Huna Cha kuangalia. Imetoka mwaka huu
Alternative ya Fargo na Barry turuke nayo ni ipi?Ngoja niidownload
Zote ni dark comedy ina barry ndiyo tamu zaidi mahusiano ya barry na mkewe yananikumbusha jinsi nilivyo anza mimi na mke wangu kule mombasa kenya kama masihara vile😄😄😁Alternative ya Fargo na Barry turuke nayo ni ipi?
So hatuna series nyingine zenye kufanana n Fargo tofauti na hiyo barryZote ni dark comedy ina barry ndiyo tamu zaidi mahusiano ya barry na mkewe yananikumbusha jinsi nilivyo anza mimi na mke wangu kule mombasa kenya kama masihara vile😄😄😁
Ya motoKwanini 😁😁
Pamoja MkuuTizama barry
Mkaa wa motoFargo bonge moya la series