Series (Special thread)

Series (Special thread)

Leo nimejikumbushia hii
IMG_9391.jpeg
 
Hziyech22 nimeimaliza The art of sarah ni bonge la masterpiece ila mwisho kidogo sijafurahisha nitaka kujua jina lake halisi😃,
Seran Dr. Mariposa kama mnapenda series za kikorea nenda kaicheki ni nzuri
Naiona inakatiza katiza hapa naipuuzia kumbe iko bomba🙂 umenifanya niiwaze! Kesho ntaanza kuiangalia😍
 
Aww 🥰 bora hata ni fupi nimekuwa mvivu kuwatch episode ndefu! Ipo apa naiona netflix kesho mapema tu nitaanza episode moja! Naimaliza this week tu😊
Mi movie au series za mystery huwa nazikubali sana, napenda ile plot twist. Halafu baadae naanza kuirudia kuangalia jinsi director alivyokuwa anaweka hints katikati ila hujui
 
The nkiri wameipiga chini nani anajua site yao mpya au nyingine ambayo naweza-ku-download
Tumieni hizi

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom