Domina=Rome EmpireZinahusu nini
Siku hizi umekuwa na mzuka na series za Roman empire 😃Domina=Rome Empire
Barbarians=German vs Rome Empire
Anza na Domina kuna kitoto kinaitwa Livia kina roho ngumu hatarii ila kumbe ukiwa na roho ngumu ndio unafanikiwa😆Uweeh! Wacha kesho niamke nayo🤗🤸🏽♀️
Ndio kufanikiwa kunahitaji uwe na roho kubwa😂 kitakuwa ki-role model changu☺️ Kesho nikimaliza mambo yangu tu ninayo😎Anza na Domina kuna kitoto kinaitwa Livia kina roho ngumu hatarii ila kumbe ukiwa na roho ngumu ndio unafanikiwa😆
Napenda historical movie yoyote hujanijulia kumbe, hata stories ninazoandika mwenyewe hua naunda mazingira ya zamani sanaa ndio natungia story humoSiku hizi umekuwa na mzuka na series za Roman empire 😃
Kwa kweli ukiwa soft soft utapitwa na mengi duniani hapaNdio kufanikiwa kunahitaji uwe na roho kubwa😂 kitakuwa ki-role model changu☺️ Kesho nikimaliza mambo yangu tu ninayo😎
Maisha ni kukaza mamkali🙂Kwa kweli ukiwa soft soft utapitwa na mengi duniani hapa
Anza kutembelea mdogo ukajionee kabisa majengo yake, ila bara la ulaya ndio linaongoza kwa kuwa na majengo ya kizamani,ngoja nijichange nikifika age ya pension nitafanya tour ya maeneo ya ulaya yenye historiaNapenda historical movie yoyote hujanijulia kumbe, hata stories ninazoandika mwenyewe hua naunda mazingira ya zamani sanaa ndio natungia story humo
Ni nzuri mimi nimeipendaMi imenishinda kwakweli..
Niliishindwa mapema sana!Ni nzuri mimi nimeipenda
Kama hii imekushinda basi Landman sidhani kama utaiweza.
Ni series ambayo matukio yake yapo katika pattern.Niliishindwa mapema sana!
Anhaa acha nitulize fahamu ntaichek tena episode nzima nimeielewa mwanzoni tu🤦🏽♀️Ni series ambayo matukio yake yapo katika pattern.
Unavyo struggle kutaka kujua sababu ya tukio fulani unagundua katikati ya scene kumbe hata character wenyewe wanaocheza hiyo script nao hawajui sababu na wapo katika process za kutafuta majibu.
Kwa hiyo inaanza kama haieleweki halafu unavyozidi kuendelea ndivyo namna unavyozidi kupata concept.
Ndio nimeanza episode 1 landman . Iko poa scene yagari kugongwa ndege na Ile ya mwanzo wakisaini mkataba ziko poa sana.Ni nzuri mimi nimeipenda
Kama hii imekushinda basi Landman sidhani kama utaiweza.
Landman nilianza kuangalia wakati inaachiwa vipande vipande mpaka nikaikata season 1Ndio nimeanza episode 1 landman . Iko poa scene yagari kugongwa ndege na Ile ya mwanzo wakisaini mkataba ziko poa sana.
I will, nitaanza na Greece, nishatengeneza marafiki,Anza kutembelea mdogo ukajionee kabisa majengo yake, ila bara la ulaya ndio linaongoza kwa kuwa na majengo ya kizamani,ngoja nijichange nikifika age ya pension nitafanya tour ya maeneo ya ulaya yenye historia