Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,159
- 123,236
Ile mi niliitilia mashaka mda mrefu sana nilipoona kuna Priyanka Chopra nikajisema tu humu hamna kituThe bluff nzuri au nisije kuchoma muda kuipakua
Ile mi niliitilia mashaka mda mrefu sana nilipoona kuna Priyanka Chopra nikajisema tu humu hamna kituThe bluff nzuri au nisije kuchoma muda kuipakua
Trailer yake imenivutia kesho naishushaHujaianza kabisa?
Inaonekana ni kali kwasababu kwamza rate zake zinashtua.
Series imetoka tarehe 4 lakini ina rate ya 9.2 wakati Breaking Bad ya 2008 na ina 9.6
Sijamaliza episode 1 nimeishia pale wachina walioofanyiwa ambush.
Nasubiria mizuka inijie nianze kuangalia.
Icheki ile inaonekana ni kaliTrailer yake imenivutia kesho naishusha
Kwani hii sio ya kibritish?Icheki ile inaonekana ni kali
Na uzuri season 1 imekuja complete sio kama ile ya Kibritish ambayo iliishia episode 6
Uliponiiza hili swali imenifanya ni Google kwanza.Kwani hii sio ya kibritish?
Kizungu Chao ni kile Cha akina Alexander na akina harry 😁😁😁. Pia mazingira yote namna y uvaaji n.k ni ladha za kwa malikia tupuUliponiiza hili swali imenifanya ni Google kwanza.
Lakini kabla wala nikuwa sijui kama ni British
At least hii accent yake haisumbui kusikika nadhani kwasbabu hata ya stori kuzungumzia miaka ya zamani kabla slang azijaanza kuharibu lughaKizungu Chao ni kile Cha akina Alexander na akina harry 😁😁😁. Pia mazingira yote namna y uvaaji n.k ni ladha za kwa malikia tupu
Series kali sana hiiHata.mimi nioo season 3 episode ya 4
Hiyo ni noma ila juzi kati nilipata taarifa kuwa director mmoja wa hiyo movie aliuwawa huko IranSeries kali sana hii
Hii ni season ya ngapi?
Season 5 hiyo inakuja soonHii ni season ya ngapi?
Niliishia season 2 nadhani
Aisee sio powaHiyo ni noma ila juzi kati nilipata taarifa kuwa director mmoja wa hiyo movie aliuwawa huko Iran
Yellowstone kali anzia hukoNdio maana nilishindwa kuielewa. Hata episode 1 sikuimaiza
Hii movie tamu sanaIle mi niliitilia mashaka mda mrefu sana nilipoona kuna Priyanka Chopra nikajisema tu humu hamna kitu
Mi imenishinda kwakweli..