Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hziyech22 nimeimaliza The art of sarah ni bonge la masterpiece ila mwisho kidogo sijafurahisha nitaka kujua jina lake halisi😃,
Seran Dr. Mariposa kama mnapenda series za kikorea nenda kaicheki ni nzuri
Thank you ila Wakorea niliishia enzi za kina Lee Minho, Song II Kook, Jang Hyuk, Kim nam Gil yaan kiufupi kuanzia mwaka 2006 mpaka 2019.
 
nimekuelewa unapenda action na romance ila za watu wazima wanajielewa hawa gen z mapenzi ya shuleni na leo wanachana kisa hajambiwa usiku mwema kesho wanarudiana huzipendi 😁
 
Naomba kuuliza, hivi hizi ratings za imdb, rotten tomatoes etc, do they really matter? Mfano unakuta movie au tv show ina ratings ndogo ila watu wanaisifia sana japo ukiangalia ratings ziko chini. Pia kuna tv shows zenye rating kubwa ila zinastahili aise mfano 24, The Americans. worth watching them.
 
Hziyech22 nimeimaliza The art of sarah ni bonge la masterpiece ila mwisho kidogo sijafurahisha nitaka kujua jina lake halisi😃,
Seran Dr. Mariposa kama mnapenda series za kikorea nenda kaicheki ni nzuri
Jina lake kamili lipo kwenye story nzima yake pale alipoelezea mpaka wakabadilishana identity na yule mwenzake aliyekuwa anatengeneza handbag
 
Naomba kuuliza, hivi hizi ratings za imdb, rotten tomatoes etc, do they really matter? Mfano unakuta movie au tv show ina ratings ndogo ila watu wanaisifia sana japo ukiangalia ratings ziko chini. Pia kuna tv shows zenye rating kubwa ila zinastahili aise mfano 24, The Americans. worth watching them.
Mi huwa siziwekei maana sana, kama nikisoma stori kwa ufupi na kuangalia trailer nikaipenda naangalia tu sijali rating wala critics za watu
 
dosho12 Kuna nyingine nakupa inaitwa "siren's kiss" nayo ni ya kikorea ni ongoing hiko hivi investigator mmoja anamfuatilia mdada ambaye kila mwanaume anayekuwa naye kwenye mahusiano huwa anakufa na kabla hawajafa beneficiary za insurance zinaelekezwa zilipwe kwake hiyo ndio inazaa sintofahamu bahati mbaya hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaonesha huyo mdada ndio anahusika na hizo vifo so hapo Kuna Siri nzito ipo hapo katikati ambayo hatujui.
 
Ngoja nitaitafuta
 
Naomba kuuliza, hivi hizi ratings za imdb, rotten tomatoes etc, do they really matter? Mfano unakuta movie au tv show ina ratings ndogo ila watu wanaisifia sana japo ukiangalia ratings ziko chini. Pia kuna tv shows zenye rating kubwa ila zinastahili aise mfano 24, The Americans. worth watching them.
Ukiangalia movie/series kwa kufuata ratings basi kuna vingi sana utakua unavikosa , movie yoyote yenye ushoga ndani yake utakuta inaratings kuanzia 85+
 
Trailer lake jipya linatisha na linaleta mzuka wa kuisubili next season
 
Attachments

  • 20260310_205830.jpg
    20260310_205830.jpg
    994.9 KB · Views: 4

Similar Discussions

Back
Top Bottom