Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kiranga Mwana hii ulisha icheki?, ina sequel 4 available on Netflix.

Mjapani huyu, panga safi.
FB_IMG_17722431515479351.jpg
 
Za moto eenh? Sawa acha tajaribu japo anime nyingi sizielewi kwakweli! Atleast animation ndio naangalia tangu nikiwa mtoto mpk nazeeka sasa😅
Anime ni kali animation ni lika zote ila anime sizan kama zawatoto, mfano kuna anime inaitwa BLEACH hii ni 🔥
Ukianz kufwatilia namby nikupe recommendation.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom