Series (Special thread)

Series (Special thread)

images.jpeg

Kama uliipenda Yellowstone, basi huu ni muendelezo baada ya kifo cha mzee Dutton. Mwanaye Kayce Dutton ni Sterling humu. Episode ya kwanza imetoka
 
Hii Hijack Season 2 Mwandishi Kazingua,
1. Sababu ya kuteka treni nzima Sababu ya Mwanamke tena ambae walishaachana huko. Na ambae tayari huyo Mwanamke ana mwamba mwingine anakula.

2. Abiria waliotekwa walipata chance nyingi na za wazi za kutoka nje ya treni lakini hawakutoka (Hakuna uhalisia).

Bora hata Bomu lingekuwa labda na condition kwamba uzito wa treni ukipungua tani Fulani linakuwa Armed na kuanza kuhesabu countdown.

Halafu yule Chief of Police daah, Kilaza Sana.

Na yule binti aliekuwa Control centre ya treni yaani mpaka episode ya 7 sijajua Kazi yake nini, kazubaa tu, hajiongezi, hatoi ushauri wowote, anatoa tu macho.

Yaani series haina Msisimko Kabisa.
Niliishia Ep ya kwanza baada ya kusema kateka treni nikajua tu hamnamo kitu humu, unatekaje treni ni bora wangecheza kwa kuteka meli
 
Hii Hijack Season 2 Mwandishi Kazingua,
1. Sababu ya kuteka treni nzima Sababu ya Mwanamke tena ambae walishaachana huko. Na ambae tayari huyo Mwanamke ana mwamba mwingine anakula.

2. Abiria waliotekwa walipata chance nyingi na za wazi za kutoka nje ya treni lakini hawakutoka (Hakuna uhalisia).

Bora hata Bomu lingekuwa labda na condition kwamba uzito wa treni ukipungua tani Fulani linakuwa Armed na kuanza kuhesabu countdown.

Halafu yule Chief of Police daah, Kilaza Sana.

Na yule binti aliekuwa Control centre ya treni yaani mpaka episode ya 7 sijajua Kazi yake nini, kazubaa tu, hajiongezi, hatoi ushauri wowote, anatoa tu macho.

Yaani series haina Msisimko Kabisa.
1. Hata wakati imetekwa ndege alikuwa anamtumia taarifa mwanamke huyo huyo mama wa mtoto wake japo wameachana.
2. Waliomlazimisha ateke treni Wana mtu wao(yule mdada)mule ndani ya treni ambaye kazi yake ni kufatilia kila anachofanya Sam Nelson kuhakikisha utekaji unaenda kama ulivyopangwa. Hata Nelson aliwaambia abiria kwamba hata wakisema watoke nje basi watakaofanikiwa kutoka watakuwa wachache wengine wote watalipuka na bomu. So bomu litalipuka kwa sababu Yule mdada atatoa taarifa kwa waliomtuma ambao kimsingi hata yeye amelazimishwa kuwa mule kwenye treni kwani familia Yake ipo hatarini pia endapo atafanya kinyume. Kumbuka bomu lipo remotely anaelipua yupo mbali. Kuna time magaidi walijua mambo yameharibika bomu likaanza kuhesabu sekunde kabla ya Yule dada na nelson kuwahakikishia bado wanamudu situation ndipo bomu likaacha kuhesabu . Sasa abiria wanashukaje kweny treni kwa Hali hiyo??
Poa Yule dada wa control center Sam ndo kamchagua pekee wa kuwasiliana nae kumbuka hausiki na polisi wala jeshi , ye kaz yake ni kumonitor njia za treni(subway) Tu. Atoe ushauri gani kwenye ishu ya kiusalama??
Ila sipingi kuwa imepoa kuliko season 1
 
View attachment 3551077
Kama uliipenda Yellowstone, basi huu ni muendelezo baada ya kifo cha mzee Dutton. Mwanaye Kayce Dutton ni Sterling humu. Episode ya kwanza imetoka
Kiukweli sikuwahi kumkubali Kayce as a character kwenye Yellowstone, zile ups and downs na familia yake zilikua zinanichosha sana, lakini mostly ni yeye mwenyewe as a character sijatokea kumkubali.. so nadhani hii itanipita!
 
Seran ,
Usiiangalie hiyo, jana usiku nimeangalia tu trailer lake nimehuzunika na zile comments ndio zikazidi kunifanya nisitake kuiangalia kabisa, binafsi sipendi movies za kuhuzunisha ila kama unazipenda icheki, ukilia uwe na wakukubembeleza
Nilijitia kiherehere kuangalia movie ya Taraj Straw nilikuwa nalia kama mwehu😪 wa kunibembeleza ndio hayupo 😫
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom