Inaweza ikawa ndio msimu wa mwisho
Inaweza ikawa ndio msimu wa mwisho
Dozi ya kituristiDozi ya usiku huu inatoshaView attachment 3539255
😅 Ndio zenyewe, kumbe unaweza kuangalia jaribu na nyingine utazipenda, we angalia story usianze kuwaza mtu anawezaje kupaa kweli 😁Bora hiyo kwakweli 😁😁
Superheroes kwakweli hapana. Japo zipo chache kama wonder woman ya kwanza, superman, Deadpool, na daredevil naweza kuziangalia (sijajua kama nimepatia hiyo category ya superhero)
Watuongezee msimu mwingine tena, hii series ni nzuriInaweza ikawa ndio msimu wa mwisho
Rafiki yangu mkubwa, ambae kwa sasa naweza sema urafiki umepungua sana (maybe sababu ya step ya maisha niliyomzidi), yeye ni idealist sana.. alikua akiniambia mara kwa mara niitazame hii movie ina funzo kubwa sana ila nilikua nikiipotezea..Depal Carleen Seran Mr Q Vincenzo Jr Dr. Mariposa Angel Nylon
The greatest showman ( romance, drama, musical )
Pt Barnum toka akiwa mtoto alikuwa na ndoto ya kuja kufanya kitu kikubwa na special kwenye dunia ila umaskini unakuwa kikwazo, anamua kutafuta tu kazi ya kawaida kwenye bank ili apate pesa za kumuoa msichana aliyekuwa anampenda toka utotoni, baada ya kuwa kwenye familia kwa muda anapata watoto wa kike wawili ila bado anaone hana furaha hivyo anamua kuacha kazi na kukopa mkopo benki ili kufungua ukumbi wa maonyesho ya sarakasi huku akichukua watu waliokuwa wanatengwa na jamii kipindi hicho miaka ya 70s ndio wawe watu wake wa maonyesho.
Ni movie inayonyesha hustler kwenye kupigania ndoto , racism, gharama ya tamaa ya kutaka zaidi ya ulichonacho
Mmeshafika na 4 jamani🙆🏽♀️
Mama watoto anaipenda sana hii series dah sema mimi nimeumia sana yule mwamba kufariki season ya mwisho ina maana hata mchana kutakuwa na wahuni au jamaa alikuwa anaota pale asiee ni hatari sanaWatuongezee msimu mwingine tena, hii series ni nzuri
ni kwanini marafiki wengi wakizidiana hatua flani katika maisha, otomatik urafiki unakufa ama unapungua kabisa..!?Rafiki yangu mkubwa, ambae kwa sasa naweza sema urafiki umepungua sana (maybe sababu ya step ya maisha niliyomzidi), yeye ni idealist sana.. alikua akiniambia mara kwa mara niitazame hii movie ina funzo kubwa sana ila nilikua nikiipotezea..
Ilikua kila nikimuuliza aniambie what is it about, and if possible anipe funzo lililopo alikua hataki kabisa aki insist niiangalie ila sikupata hiyo nafasi.
Sasa baada ya kusoma hii comment yako naona kuna sababu ya kuitafuta, maana jamaa alikua ana insights sana na miaka kadhaa nyuma nilikua nina ujinga ujinga sana.. kuna kitu alitaka nipate kutoka humo. Guess I'll find out..
Thanks champ!
Story of my life, nimempoteza my childhood and a bestfriend kimasikhara masikhara tu baada ya kumtangulia kufika pale ambapo wote tulikua tunaomba kufika, nilidhan angekua proud matokeo yake akashindwa kuificha chuki yake kali dhidi yangu, imagine nimemfahamu my whole life.ni kwanini marafiki wengi wakizidiana hatua flani katika maisha, otomatik urafiki unakufa ama unapungua kabisa..!?
shida inaanza kwa ‘mfanikiwa’..!? ama shida huwa zaidi kwa ‘mfanikiwi’..!??
Pole dear,Story of my life, nimempoteza my childhood and a bestfriend kimasikhara masikhara tu baada ya kumtangulia kufika pale ambapo wote tulikua tunaomba kufika, nilidhan angekua proud matokeo yake akashindwa kuificha chuki yake kali dhidi yangu, imagine nimemfahamu my whole life.
Hii movie inafunzo kubwa sana kwa wanadamu..
Jitahidi kabla ya april uwe ushamaliza hzo tatuMmeshafika na 4 jamani🙆🏽♀️
Shida inaweza kuwa chuki kama alivyosema Dr. Mariposa ama muda mwingine inakuwa aibu, kuna watu wakiwa na shida ni bora akope kwa mtu asiye mfahamu vizuri kuliko kwa ndugu yake au rafiki yake,ni kwanini marafiki wengi wakizidiana hatua flani katika maisha, otomatik urafiki unakufa ama unapungua kabisa..!?
shida inaanza kwa ‘mfanikiwa’..!? ama shida huwa zaidi kwa ‘mfanikiwi’..!??
Kuna SPA ipo mwz inaitwa Mariposa beauty parlor au ni yako🥹Story of my life, nimempoteza my childhood and a bestfriend kimasikhara masikhara tu baada ya kumtangulia kufika pale ambapo wote tulikua tunaomba kufika, nilidhan angekua proud matokeo yake akashindwa kuificha chuki yake kali dhidi yangu, imagine nimemfahamu my whole life.
Huyu mzazibari, wao mwisho ni dar,moro na tanga kanda ya ziwa hawapapendi 😁Kuna SPA ipo mwz inaitwa Mariposa beauty parlor au ni yako🥹
Hawataki kukakamaa vidole na ngozi kama sisi😂Huyu mzazibari, wao mwisho ni dar,moro na tanga kanda ya ziwa hawapapendi 😁