dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,487
- 12,301
kuna story nilisikia kuna msukuma mmoja alienda Tanga kwenye mgahawa hizi za uswahilini mida ya saa 2 usiki akakuta wana maandazi, chapati,mihogo na mikate ya kumimina, badala ya ugali na wali jamaa akala hivyo hivyo ila saa saba usiku kaamka anasikia njaa unauma vibaya šHawataki kukakamaa vidole na ngozi kama sisiš