Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,089
- 9,423
The night manager nasikia kuna mdau alisema kuna mambo ya upinde sana...nikaachana nayo
ReKila aliyetoa suggestion ya hii mizigo abarikiwe sana,
The rip, (no comments)
Cross, (nimeipenda)
Hijack 2(inaendelea),
His and Hers, (siyo mbaya)
Night Manager 2 (inaendelea),
People we meet on vacation, (inafurahisha)
Stoker, (Imenishangaza)
Steal, (nzuri ila mwishoni kuna kitu sijawaelewa)
Another Simple Favor, (movie yake ya kwanza Simple Favor inafurahisha naona kama hii wamelazimisha sana kuiendeleza)
Abbott Elementary 1 (nilitamani tu kujua inahusu nini, inafurahisha ila haijanishawishi kuendelea)
Hacks 1, (inafurahisha)