Depal Carleen Seran Mr Q Vincenzo Jr Dr. Mariposa Angel Nylon
The greatest showman ( romance, drama, musical )
Pt Barnum toka akiwa mtoto alikuwa na ndoto ya kuja kufanya kitu kikubwa na special kwenye dunia ila umaskini unakuwa kikwazo, anamua kutafuta tu kazi ya kawaida kwenye bank ili apate pesa za kumuoa msichana aliyekuwa anampenda toka utotoni, baada ya kuwa kwenye familia kwa muda anapata watoto wa kike wawili ila bado anaone hana furaha hivyo anamua kuacha kazi na kukopa mkopo benki ili kufungua ukumbi wa maonyesho ya sarakasi huku akichukua watu waliokuwa wanatengwa na jamii kipindi hicho miaka ya 70s ndio wawe watu wake wa maonyesho.
Ni movie inayonyesha hustler kwenye kupigania ndoto , racism, gharama ya tamaa ya kutaka zaidi ya ulichonacho