Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hatimae nimemaliza THOSE ABOUT TO DIE, naipa 10/10, nimejihisi kama na mimi nipo ndani ya jiji la ROMA,😄😄
Ila jamani kuna muda nashukuru kuzaliwa hii karne, enzi za utumwa zilikua mbaya sana binafsi ningesulubiwa mapema maana siwezi kumsujudia MTU😎

Seran , dosho12
Iko vizuri sana aisee😊
 
nimeicheki kumbe ina season moja bado hapo vizuri, alafu nimeona yule jamaa wa game of thrones yupo
Eh jamaa wa GOT yupo na jamaa wa VIKINGS VALHALA yupo pia, iko poa sana,

Kuna lishenzi limoja lilimpiga mwanamke hadi ngumi za tumbo uwii nilipiga makelele MUACHEEEEE nilijisikia vibaya baadae nikakumbuka ni maigizo😂😂😂
 
5856DB86-ED5A-43F9-B2BE-6E356190192D.jpeg

Animal kingdom naona imeingia netflix, ni tamu kwa ambao hamjaiona!
 
Hatimae nimemaliza THOSE ABOUT TO DIE, naipa 10/10, nimejihisi kama na mimi nipo ndani ya jiji la ROMA,😄😄
Ila jamani kuna muda nashukuru kuzaliwa hii karne, enzi za utumwa zilikua mbaya sana binafsi ningesulubiwa mapema maana siwezi kumsujudia MTU😎

Seran , dosho12
Dr. Mariposa Nimefika ep ya 03 ila naona ni nzuri,
Nakubaliana na wewe hata mimi ningekufa tu kama ningekuwa mtumwa maana sina mwili wa gladiator 😁
 
Dr. Mariposa Nimefika ep ya 03 ila naona ni nzuri,
Nakubaliana na wewe hata mimi ningekufa tu kama ningekuwa mtumwa maana sina mwili wa gladiator 😁
Unapambana tu si umemuona Kwame anavyokomaa katikati ya Magiant😃😃 mimi ningekua Aura dada ake Kwame ila watu kama sisi ndio hatudumu ningekua nishasulubiwa🥹🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom