Basi mimi na wewe pole zetu manake hiyo Games of Throne inavyosifiwa halafu wengine tushindwe kumaliza japo episode moja-- maybe tutakuwa na matatizo!!!Mie movie za mjambia hapana jamani, hiyo got inavyosifiwa ila mie ilinishinda, niliishia episod ya kwanza tu