Series (Special thread)

Series (Special thread)

MOVIE: NO WAY OUT 2022

Photographer ajiyezama kwenye penzi zito la mwanadada mrembo mwanamitindo katika moja ya mtoko wao wa night club mwanadada anawaona njemba mbili na Hali yake inaanza kubadilika na kubwa na wasiwasi mpenzi wake photographer anamuuliza Nini Tena? Mdada anasema zile njema Kuna kipindi walimuimgilia kingono kwa nguvu na akampa task mpenzi wake Kama anataka kuendelea nae basi afanye mauaji kwa zile njemba Je ni kweli zile njemba zilimbaka na kama walimbaka na jamaa kaimbiwa hivyo na bidada Je atatekeleza huo mpango na kwa namna gani?
 
Niliona baadhi ya vipande yani hii young sheldon huwa naagalia nikiwa nimerelax tu kama sina cha kuangalia au sitaki kufocus sana, kwahiyo ata sijaimaliza ipo kwenye pause hapa😂
Mule Kuna bibie hajasoma ana penda sana kukaa na wale wadau wa fizikia kile ki manzi nakikubali sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom