Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 20,968
- 46,626
Hiyo nimeichukua mida ya saa 6 hivi nitaicheki keshoNimeona review watu wanaisifia ni kali
Hiyo nimeichukua mida ya saa 6 hivi nitaicheki keshoNimeona review watu wanaisifia ni kali
Umeangalia season 1 au hii aliyopost kwamba itatokea Feb?
Bonge la kazi season 2 ipo njianiHii nimeichek ni nomaa!
Couple ya mauajiHawa walikutana wote ni roho miyeyushoView attachment 3527283
Nachowapendea muda wote wana ile michezo huku uswazi tunaita kuchezeana nywele 😀😀Couple ya mauaji
Jamaa kwa mauaji yote aliyofanya ila alikuwa anamuogopa mke wake maana anajua siku yoyote mkewe anaweza mchinja akiwa kalala 😁Nachowapendea muda wote wana ile michezo huku uswazi tunaita kuchezeana nywele 😀😀
Katika mademu wote huyu ndio mwan alijichanganya nusu akatwe kende pekenje pekenje sema Mimi nilimpenda sana yule bibie kwenye msimu wa 1 mtoto mzuri sana yuleJamaa kwa mauaji yote aliyofanya ila alikuwa anamuogopa mke wake maana anajua siku yoyote mkewe anaweza mchinja akiwa kalala 😁
Kwenye kazi ipiHawa walikutana wote ni roho miyeyushoView attachment 3527283
YouKwenye kazi ipi
Ozark ndio zaidi mtu alifukua mifupa ya mababu ili ajiokoe na mkono wa polisiOzark na brekng bad ndio series zenye wahuni wenye roho mbaya sana
Ikitoka unitag kabisa🙌🏾Bonge la kazi season 2 ipo njiani
Mi breaking bad mpaka kesho🫡Ozark na brekng bad ndio series zenye wahuni wenye roho mbaya sana
Bonge la seriesMi breaking bad mpaka kesho🫡
Vipi kuhusu Animal kingdom?Bonge la series
Ongezea na the sopranos series kalii sana hizoVipi kuhusu Animal kingdom?
Nimeisikia hii ni yazamani pia? Ntaiangalia..Ongezea na the sopranos series kalii sana hizo
Hivi seran huwa unangalia sana movie/series za aina gani ? Au na we ni kama Vin unangalia yyte ileNimeisikia hii ni yazamani pia? Ntaiangalia..
hii sopranos naiangalia saiv ni moto mwingineOngezea na the sopranos series kalii sana hizo

Sasa mmenishawishi niitafutehii sopranos naiangalia saiv ni moto mwingine![]()