Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mbele mbele huko utakutana na kijana mdogo sana ila ana mambo mazito hadi shetan alikaa mbali IVAR THE BONELESS
Namkubali sana Ivar,
ile conversation ya ragnar na ivar season 4, wakati ragnar kaenda kwa ecebet kujikamatisha yale maneno ndio yalimpa kiburi ivar,
Alivyomwambia " use your anger intelligent my son, and i promise you that one day the whole world will know and fear ivar the boneless
 
Kiranga you relate?
FB_IMG_17684229388569887.jpg
 
Kifo cha ragnar kilianzia hapa
bora angebaki na Lagartha, ila huyo msichana alifanya kitu kimoja kizuri hata Ragnar pia alimsifu, maana alijua kabisa ragnar alikuwa hampendi na wapo naye sababu ya ile prophecy kwamba atazaa naye watoto wataofanya mambo makubwa, ila huyu hakuwahi kuwalisha sumu watoto wa ragnar hata siku moja, alikuwa akiwapa story za jinsi baba yao alivyo shujaa na anawapenda, hasa kwa ivar alivyotaka kumtupa, kwa mke mwingine angemrisha sumu mpaka ivar anamchuki baba yake
 
Huyu bibie ndio maana nilimkubali sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom