Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ndio hii ya 2022? Hmm sijaiona😁

Ninaangalia apa highlights aisee ni tamu🥵

Sema huyu mke wake anapenda kutiwa jamn 🙌🏾

Mwanaume wake anaua kila anaecheat naye..

Huyu melinda nimemuona movie nyingi nampenda
Afu mwishoni anajua kuwa alikuwa anakosea aliyoyafanya 😃😃😃 sema jamaa mkewe kawekwa sana hata ningekuwa Mimi nakutoa roho mwana alikuwa sahihi
 
Ndio hii ya 2022? Hmm sijaiona😁

Ninaangalia apa highlights aisee ni tamu🥵

Sema huyu mke wake anapenda kutiwa jamn 🙌🏾

Mwanaume wake anaua kila anaecheat naye..

Huyu melinda nimemuona movie nyingi nampenda

Why was she cheating like that😱
Zingine hizi hapa
 
Ina uchawiuchawi na mambo kma hayo?
Humo ni mkono na ngono, utakutana na mtu bad anaitwa Ragnar, utakutana na Rollo mzee wa action utakutana na Floki yeye muda wote ana furaha tu hata akiua mtu anafurahi huku anasisimka😆😆😆

Mbele mbele huko utakutana na kijana mdogo sana ila ana mambo mazito hadi shetan alikaa mbali IVAR THE BONELESS oyaaaa nisikumalizie uhondo🙌🏻

Huwezi amini nimeanza kuirudia tena nadhan kwa mara ya 20 now
 
Kwangu Vikings iliisha baada ya kifo cha Ragnar.. hiyo generation ya akina Ivar sikuifurahia sana na ndo sababu niliishia kati.
 
Yes, kifo cha Ragnar kila mtu alishtuka na alidhani story ingekua mbaya ila Ivar aliibeba show vizuri sana na watazamaji waliongezeka, ndio maana mpaka leo VIKINGS ipo kwenye moja ya best series.
 
Humo ni mkono na ngono, utakutana na mtu bad anaitwa Ragnar, utakutana na Rollo mzee wa action utakutana na Floki yeye muda wote ana furaha tu hata akiua mtu anafurahi huku anasisimka😆😆😆

Mbele mbele huko utakutana na kijana mdogo sana ila ana mambo mazito hadi shetan alikaa mbali IVAR THE BONELESS oyaaaa nisikumalizie uhondo🙌🏻

Huwezi amini nimeanza kuirudia tena nadhan kwa mara ya 20 now
Floki mzee wa mizimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom