Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,729
Maeneo ni Yale Yale ya Caracas 😃😀😀Waki inasa hii wadau wa dunia ni simulation tuna controliwa na ma allien 😁
Maeneo ni Yale Yale ya Caracas 😃😀😀Waki inasa hii wadau wa dunia ni simulation tuna controliwa na ma allien 😁
KUna mda dishi lao likiyumba tabu tupuVODA Leo naona wapo vizuri
View attachment 3526052
Leo server ya HQ wameielekeza kwa watumiaji wadogo wadogoKUna mda dishi lao likiyumba tabu tupu
Dah kweli Leo speed 🔥 balaa nilikuwa nachukua movie hapa inaitwa the tiger naona imefika mb 500 chapu afu tanesko wamefanya Yao teyari 😀 Ina maana hapa mpaka umeme urudi nishushe upyaView attachment 3526059
Siku nzuri kwenye ulimwengu wa kushusha movies. Yani unakamua na mtandao unakubali kukamuliwa
View attachment 3526060
Leo Itakuwa mtu wa zamu huko HQ ni Fake PLeo server ya HQ wameielekeza kwa watumiaji wadogo wadogo
Pole sana 😁😁😁Dah kweli Leo speed 🔥 balaa nilikuwa nachukua movie hapa inaitwa the tiger naona imefika mb 500 chapu afu tanesko wamefanya Yao teyari 😀 Ina maana hapa mpaka umeme urudi nishushe upya View attachment 3526061
Pamoja kaka si unajua router za voda bila umeme hazina lifePole sana 😁😁😁
Hurry up tomorrowNeed movie recommendations that'll traumatize me for the rest of my life 🤪🤪
Hii ni unyama au itanibembeleza kulala??Hurry up tomorrow
Ongezea hiziHii ni unyama au itanibembeleza kulala??
Hiyo ya huyo dog na pajamas nimeiona labda nicheki hizo mbiliOngezea hizi
The Boy in the Striped Pajamas
The Book Thief
The Life Ahead