Kaka hamna kitu mule nimeshindwa kuimalizaNiliwaambieni lakini
Hapo zote nimecheki kasoro hyo parish
Uko vizuri mkuu!Hapo zote nimecheki kasoro hyo parish
Ila series kali zilizotoka mwaka jana chacheee sanaaaa aiseeUko vizuri mkuu!
Hadi movie aiseeIla series kali zilizotoka mwaka jana chacheee sanaaaa aisee
Ile series kalii sanaNimemaliza seasons 11 za The walking dead pamoja Daryl Dixon, itoshe kusema Walking Dead inaingia kwenye top 10 yangu
Hii sci-fi 😀 ulienjoy brother?
😁😁😁 Ina kadha kama ya squid game kwakuwa sikuwa na Cha kuangalia NILIENDA nayo hivyohivyoHii sci-fi 😀 ulienjoy brother?
😀😀😀😀 Nimecheka sana kaka😁😁😁 Ina kadha kama ya squid game kwakuwa sikuwa na Cha kuangalia NILIENDA nayo hivyohivyo
Wa spain wanapenda sana ushoga kwenye series zao Unspeakable Sins Ina ushoga, story nzuri ila imearibiwa na huo ufirauni
Sijaiangalia hata nimepewa list za kuchek, nashkuru umesema mapema hakuna mapumbavu nayoyachukia kama hayo!Wa spain wanapenda sana ushoga kwenye series zao Unspeakable Sins Ina ushoga, story nzuri ila imearibiwa na huo ufirauni
Hii nimeichek ni nomaa!
Wa spain karibu kila series lazima kuwe na ushoga, hovyo sanaSijaiangalia hata nimepewa list za kuchek, nashkuru umesema mapema hakuna mapumbavu nayoyachukia kama hayo!
Dahh dunia imefika pagumu! Wanatujengea fikra tuone ni kawaida tuWa spain karibu kila series lazima kuwe na ushoga, hovyo sana
Umeangalia season 1 au hii aliyopost kwamba itatokea Feb?Hii nimeichek ni nomaa!