Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,742
Masta alikuwa anatomasa simu ikaita ๐๐Mzee wa scene๐๐๐
๐๐ subiri tu miaka sita sio mingi mbonaView attachment 3489781
Huu UJINGA ndo siutakagi naombeni direct link
Mkuu! Umeshusha kutoka site gani kaka?Mi mwenyewe nimemaliza kuzishusha nowView attachment 3487927
Mkuu! Umeshusha kutoka site gani kaka?
๐๐๐๐๐ subiri tu miaka sita sio mingi mbona
Brother hapo tumia onstream au movie box utaikuta hii movie kama network yako tamu hapo inaingiakwa dakika 2 tu kwenye simu kwa app hizo nilizosemaView attachment 3489781
Huu UJINGA ndo siutakagi naombeni direct link
show runner wa Stranger things wanachukua muda mrefu kuleta season nyingine sio kama series nyingine, hapo kuna series zina season nyingi zaidi ya Stranger things, kuna zenye season 6,7, halafu yenyewe ina season tano tu.
Bado ila ipo kwenye radarHii series mnaifatilia?
View attachment 3490805
Isake kaka series Kali sana hiiBado ila ipo kwenye radar
Tarehe 25 brotherHuku kwetu inakuja lini