Series (Special thread)

Series (Special thread)

Movie: I know what you did last Summer

Hii ni movie ya kizungu inahusiana na vijana walijikuta wameua bila kukusudia na kushindwa kureport police kwa kuona mzigo utawaangukia kwahiyo wanaamua kukubaliana kwa pamoja iwe Siri yao. Baada ya kupita muda mrefu tangu tukio Hilo litokee wanakumbana na kifo cha kila mtu aliyehusika kwenye lile tukio baada ya kupokea ujumbe umeandikwa "I KNOW WHAT YOU DID LAST SUMMER" wanajiuliza nani huyo aliwaona wakati ile siku hakuwa na mtu yoyote waliohisi amewaona je mmoja wapo Kati yao alitoa Siri? au Kati yao mmoja wapo ndio anafanya mauaji? Jibu sahihi kaitazame movie hii nzuri
 
Me bado nipo napambana na series ya Ozark, hii series bhana inanifikirisha sana na trend za maisha ya wafanyabiashara wa kibongo
1754937723275.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom