Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,255
- 79,846
Huyu wa sasa tumepigwa kama kocha wa Yanga SC hapa mi naona yule wa 2006 ndio batman mgumu na anajua sana kazi yakehawajasema tatizo ni nini, mi nilikuwa nishaisahau maana ile ya kwanza ilikuwa ime boa mno, huyu batman wa sasa hvi sio kabisa