Series (Special thread)

Series (Special thread)

Baada ya kutulia kama week2 sasa nimeanza hii series inaitwa Ozark nahisi story yake ni kama Breaking Bad au nipo OP? Vincenzo Jr dosho12 Mr Q series member

NB: icho kibwagizo😂 baada ya miaka mingi kutokutishika na movie ndo nikaangukia apo
Series kalii sana 🔥 hiyo humo Kuna kale katoto kanaitwa Julia Garner mtoto mzuri sana yule
 
Watu wanajua kuanza series, kama unapenda za kutisha unakaa vizuri kuangalia ila kama huzipendi unatoka mapema , sio series nyingine mpaka ep 02 hujui nini kinaendelea inahusu nini,

Hyo Ozark sijawahi kuicheki ila nasikia ni nzuri, ngoja Vincenzo Jr aje au Dr. Mariposa au Carleen watakuwa washaiona
Ni series iliyonifanya nikalipia Netflix mara ya kwanza hiyo ni series Kali sana brother 😎
 
Watu wanajua kuanza series, kama unapenda za kutisha unakaa vizuri kuangalia ila kama huzipendi unatoka mapema , sio series nyingine mpaka ep 02 hujui nini kinaendelea inahusu nini,

Hyo Ozark sijawahi kuicheki ila nasikia ni nzuri, ngoja Vincenzo Jr aje au Dr. Mariposa au Carleen watakuwa washaiona
Wazungu bhana wanajua kukuandaa kisaikolojia ili uogope yale masoundtrack yao sio mchezo kabisa
 
Dah dc wana zingua kinyama, jana ilikuwa ni release date ya Batman part 2.

Ila wame cancel hadi October 1 2027.
FB_IMG_17595347377514507.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom