Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 4,636
- 15,247
Nimependa hustlers zake, lakini pia imetuonesha jinsi ndugu wanavyopambania kuturudisha nyuma, kaka ake Chuck alikua too muchSoul Goodman ana balaa sana yule muhuni 😃😀
Nimependa hustlers zake, lakini pia imetuonesha jinsi ndugu wanavyopambania kuturudisha nyuma, kaka ake Chuck alikua too muchSoul Goodman ana balaa sana yule muhuni 😃😀
One of my best of all time.. ina vibe kama la BB na visa vyake vimepangiliwa vizuri sana. Ofcoarse ni prequel ya BB, kule mwisho watatokea wakina Walter White.Guys nilikua sijaangalia Better call Saul aisee nimejuta kuchelewa kuiona, season 4 now still🔥🔥🔥
Saul na kaka yake walikua na conflict iliyokua ikinifurahisha sana 😂.. Chuck anamuona Saul km ni mtu mjanja mjanja tu na hakustahili kuwa mwanasheria, hata kupelekea kumbania mara kadhaa kwenye harakati zake.Nimependa hustlers zake, lakini pia imetuonesha jinsi ndugu wanavyopambania kuturudisha nyuma, kaka ake Chuck alikua too much
Nilikuwa sijajua kakaVincenzo Jr ulikuwa inajua hizi habari kwamba hizi series zime canceliwa, mi nlikuwa nasuburi muendelezo wake maana zilikuwa nzuri mno pia hata viewers na reviews zilikuwa nzuri tu View attachment 3480199View attachment 3480200
Dah ! Hawa amazon wana matatizo series nzuri kama hzo ni za ku cancel ? Bora wangezipa season ya mwisho wamalizia stori yao kuliko kutuacha hewaniNilikuwa sijajua kaka
Wamezingua sanaDah ! Hawa amazon wana matatizo series nzuri kama hzo ni za ku cancel ? Bora wangezipa season ya mwisho wamalizia stori yao kuliko kutuacha hewani
Haya ndo mambo yangu sasa 😁
Wengine mpaka wanasagana humo humo 😁The 100 imejaza watoto wazuri tu
Kali sana hii itafute 😎Haya ndo mambo yangu sasa 😁
Mwana alifosi huku anashida kubwa kwenye mgongo movie Kali sana Ile hapo kwenye kubanduana hawaaachi hao 😀😀😀F1 bonge moya ya movie 🍿. Sema wazungu wapunguze kubanduana hovyohovyo kwenye movie
Movie gani hyoKuna kamovie inatakiwa uitazame kabla haujafa kapo cinema now kametumia zaidi ya miaka 20 kuandikwa ndio imetoka mwaka
huu
One Battle After AnotherMovie gani hyo
Uko sawa mi nilijilazimisha baadae nikasema inatosha.Nilianza kuiangalia tarehe 16 Aug yani siku 3 baada ya kuachiwa official lakini mpaka leo bado nipo episode ya 4
Kuna namna ambayo wa Asia hawanivutii kwenye series.
Hii script ingeenda hollywood ingekuwa ni bonge ya series.
Hawa wakorea ni kama wanaigiza katikati ya igizo wameipoozesha sana series hususani zile scenes za kubembelezana na kutia tia huruma ndio walipo haribu.
Ebu imagine kwa maudhui ya hii kazi wangepewa ma blacks wa US kama kina Hardwick unadhani hii ingekuwa series ya kitoto?
View attachment 3479544
Watu wanajua kuanza series, kama unapenda za kutisha unakaa vizuri kuangalia ila kama huzipendi unatoka mapema , sio series nyingine mpaka ep 02 hujui nini kinaendelea inahusu nini,Baada ya kutulia kama week2 sasa nimeanza hii series inaitwa Ozark nahisi story yake ni kama Breaking Bad au nipo OP? Vincenzo Jr dosho12 Mr Q series member
NB: icho kibwagizo😂 baada ya miaka mingi kutokutishika na movie ndo nikaangukia apo