dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 3,718
- 9,908
Ngoja mfike wengi 😁Siijui 😃
Ngoja mfike wengi 😁Siijui 😃
Unakosa mengi ndugu Kali sana ukipata muda I download uenjoyHii sijawahi kuiona
😃😃😃Hiyo series niliikimbia kabisaHuyu Tyler Perry mbona anapenda sana ushoga, kuna mtu kanishawishi hii Black in beauty nzuri, nimeianza tu nakuta wanaume wanageuzana![]()
Hapo kwenye namba 6 patamu sana hii inamfaa hata Binti wa zamani aicheki 😎Movie nzuri kwa weekend hzi Carleen Angel Nylon
1. Holidate (romantic comedy)
2. Countdown (horror)
3. Unhinged (drama na pyscholigical)
4. The hate you give (drama)
5. Wonder (drama)
6. Marry me (romantic comedy)
Huyo jamaa huwa sizikubali movie/series zake kabisa , nilikubali ni straw tuHuyu Tyler Perry mbona anapenda sana ushoga, kuna mtu kanishawishi hii Black in beauty nzuri, nimeianza tu nakuta wanaume wanageuzana![]()
Hiyo series niliikimbia kabisa
Minyoo kaka yani jamaa alikuwa anahisi minyoo tu ikitembea mwilini 😂Mateso kweli imagine hisia zipo high kichwani lakin hauna kitendea kazi mwili ni kama unatembelewa na vitu ndani kwa ndani😂
Dah! Huyo dada mgumu sana, hiyo inaonekana ni horror movie 😂😂😂Hiyo Kuna bidada kaniagiza nimdownlodie ikijaa aje kuifata 😎
Itakuwa ni horror movie, aende akaombewe kuangalia movie za kutisha inahitaji roho ngumu 😂nilitaka nimuulize pia ila hilo jina la mwanzo kabla ya Angels ndiyo likanishtua..!!
Vincenzo Jr kesho enda kwa ibada tafadhali sana..!
Tyler Perry nilifatilia series ya Zatima tu tena seoson 1&2 baada ya hapo nimepita kushoto.Huyu Tyler Perry mbona anapenda sana ushoga, kuna mtu kanishawishi hii Black in beauty nzuri, nimeianza tu nakuta wanaume wanageuzana![]()
Namba 6 hiyo naangalia ikinilazimu na mpenzi tukiwa tunabebishana, ila namba 3 ndiyo mambo nayapenda sasa 😂Hapo kwenye namba 6 patamu sana hii inamfaa hata Binti wa zamani aicheki 😎
Jina gani mzee Don Yen akikaa hivyo kwenye battle kipondo chake sio mchezo
inaitwa flash pointJina gani mzee Don Yen akikaa hivyo kwenye battle kipondo chake sio mchezo
😃😀😀😀Dah! Huyo dada mgumu sana, hiyo inaonekana ni horror movie 😂😂😂
Mkuu hii Anal Angel ipo vipiView attachment 3471229
EP ya 7 mpaka tarehe 16
Erotic movieMkuu hii Anal Angel ipo vipi
😃😃😀😀😀Mission Impossible Final Reckoning wame-overdo. Movie imekua more theoretical than real. Ni aina za movie ukiangalia mara moja huna hamu tena ya kuirudia