Pung'o boy
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 685
- 305
Hata mie EMPIRE hapana kabisaa yani sijawahi angalia hata episode moja...napenda series/movie za majambia na gang related' series na intelligence hasa zinazo wahusu waarabu na adventure na series zinazo involve technology na mambo kama hayo kwa mfano the 100 na revolution ni top series kwangu ila revolution wamezingua kuishia season 2....Kingine kinachomata kwangu ni story na kama ni series ni action ziwe kwelii sasa hapo ndio kimenishinda kwa GOT ingawa naifatilia na saiv nasubir season mpya itoke.....unajua kwann uliipenda jumong 7bu story inaeleweka tngu mwanzoni tofaut na GOT kingne nilichogundua ili upende seriez za story ni lazima uijue story yenyewe inahusu nini ama ushawai soma kitabu chake au unajua story ya hiyo seriez mfn niliipenda merylin 7bu naifahamu vizur historia ya uingereza na KING ATHUR sawa game of throne nilishawai kuisoma sehemu ila zamani kidogo
zipo ambazo zilinishinda mfn spartacus ilinishinda ROME ilinishinda
Hata 24 japo wanaisifia sana mimi hainibambi sana ingawa nimeona yote na naiangalia nikikosa cha kuangalia
Walking died ndo niliishia ep 01
ila seriez za ki vampire nazipenda kuliko zombie zinanizingua
sasa kuna jamaa yangu yeye ndo aliniingiza kwenye seriez aliniacha hoi aliponiambia EMPIRE haimbambi hta kidogo kaiacha EP03 S01 so hapo ndo
nilipogundua kila mmoja anamaudhui yake katika hizi seriez inaweza usipende za majambia lkn ukakuta kuna seriez inakubamba mbaya
mfano me si mpenzi wa seriez za kitenejesia ila ALIAS ilinibamba kinoma
mimi mpenzi sana wa seriez za majambia zenye story za kutukuka na hata KOREA napenda zaidi za KIJIJINI kuriko mjini