Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kuna mambo mengne jins wanavyojishebedua au roho mbaya wanavyoact unaweza ukamkuta msanii mtaan ameanguka ukamuacha tu afe ile chuki ulioijenga
km ktk MOVIE ZA KIHINDI kuna mzee kashadedi lakini anaitwa
AMRISH PURI a.k.a MZEE ASHANT
huyu babu wakati nipo jankii nilikuwa namchukia hadi nikajenga chuki kuwa siku nikikutana nae namtia bisu la tumboo
dah ! wasanii wana kazi kweri kweri kukubalika mtaan kuwa ule ni usanii tu
Hahahahaha ulitisha,
Hata mimi nilikua simpendi yule mzee, ila baada ya kukua na kujua kua ile ni acting ndio nikamuelewa.