Series (Special thread)

Series (Special thread)

Sasa mkuu huyo Dogo wa kwenye empire ambae anaimba na mambo kama hayo how do you say unafoward wakati star ktk hio movie kapewa role ya ushoga? Yaani kila akiimba au akifanya kitu ujue hafanyi yeye bali ni the gay doings. Now how do you cope with that???
Mkuu maudhui ya empire si ushoga. Na si kwamba wana promote ushoga bali maisha ya hivyo yapo, kitu cha kujifunza ni jinsi gani ukabiliane nayo. Na ndio maana unaona baba yake Jamal mwenyewe hilo swala lina mkwaza sana lkn muda alikuwa nao but hakuwa karibu na dogo since yupo mdogo, maza nae ndio hivyo dogo anakuwa maza yupo jela unadhani dogo na elementi alizokuwa nazo angeishia wapi kama sio kuwa punga wewe kama ni mzazi kunakitu cha kujifunza pale.
Siungi mkono ushoga lkn l have to finish the story coz vipo ambavyo navifuatilia nijue nini kilihappen mwisho wake itakuwaje. Swala la ushoga wa Jamal sijaliweka akilini so sioni changamoto yoyote ktk hilo.
 
Haya bhana kila la kheri mkuu....mm kwangu never.
 
Ulichosema ni sahihi na hapa ndipo linapokuja tatizo la uwasilishaji wa sanaa na tamaduni zetu kwa sababu, kinachoonekana kwenye Empire is nothing but truth sasa swali litabaki, je, kile kinachotendeka kwenye jamii ukioneshe au usikioneshe? Sasa ikiwa unaamini ushoga ni uovu, then is up to you msanii-- je, uoneshe hadharani uovu unaotendeka kwenye jamii na hatimae kuiamsha ile jamii iliyokuwa inadhani tupo salama au ufiche kama tamaduni za Kiafrika zilivyo na kuiacha jamii ikiteketea as if nothing happens!!

Kwa mfano, Tanzania hivi sasa kuna udini sana tena wa kutia kinyaa. Tunapokaa wenyewe kwa wenyewe (wenye imani inayofanana), Wakristo hawawaongelei vizuri Waislamu na Waislamu hawawaongelei vizuri Wakristo lakini tukikutana pamoja full unafiki na tunakuja kuzielezea hisia zetu waziwazi popote pale tunapotumia fake IDs. Sasa wewe leo hii ukitengeneza filamu kisha scenes za Wakristo wakiwa peke yao unaonesha ni full kuwasifia Waislamu jinsi walivyo watu wema and so on, kisha kwenye scenes za Waislamu wakiwa peke yao ni full kuwasifia Wakristo walivyo na upendo; mosi, kisanaa utakuwa umeshindwa na kimsingi utakuwa umetawaliwa na unafiki kwa kushindwa kuwakilisha ukweli kupitia sanaa!

Kwa bahati mbaya sana; vile vile endapo utawasilisha uhalisia huo, si ajabu BASATA nao wakakufungia kwa madai kwamba unachochea udini lakini kimsingi huchochei... wewe umeona tatizo na unaliwasilisha kweney jamii! Jambo la kuangalia ni hitimisho lako kwamba kutokana na minyukano hii ambayo tunataka kujifanya haipo wakati tunafahamu ipo, what the way forward. Kama kufungiwa ufungiwe kutokana na conclusion yako na sio kuonesha uchafu unaoendelea. Na tukirudi kwenye Empire, pale walipo bado huwezi kuwahukumu manake bado hawajahitimisha manake, hata ukiangalia episode ya mwisho, ni kama Jamal anataka kujitambua kwamba he's a real man na anaweza kuwa na girlfriend wa jinsi tofauti coz' haya mambo wakati mwingine watu yanawakuta kutokana na psychological effects kiasi wanafikia kuamini they can't be like others. Hata hivyo, inawezekana conclusion yake isiwe vile tunavyotaka sisi kutegemeana na tamaduni na mazingira yenyewe.
 
we have something in common .....The Americans is one of my favorite bila ya kusahau Homeland though niliipotezea baada ya Brody kufa .....naisubiri the americans hiyo 16 March kwa hamu kubwa coz nilidhani ndo imeishia pale
Aisee, hiyo March naiona kama ipo mwakani. The Americans ndo real spy stuff na isingeweza kuishia pale manake kama utakumbuka, last scene Paige ndo tayari keshalikoroga... ame-blow cover ya wazazi wake kwa Mchungaji kwamba baba na mama ake aren't Americans but Russian Spies! My interest ni kuona ikiwa yule Mchungaji nae ni Mchungaji wa ukweli au nae ni Russian Spy!!!
 
The American nzuli sana ila got is the best jalibu kuingia YouTube kuna link wanasimulia the story before got ukifanikiwa kuiona utailewa vizuli bcs pale inapoanza ni katika ya story kuna whole story before
 
Mkuuu ukija kuelewa dhumuni au long term goals zao ndio utajua kwann wengine tunakataa.... Hawa jamaa imefikia steji steringi wa movie anafanya mambo makubwa na ya ajabu ya kusisimua lakini ndio anakua bwabwa.

Hiiii wanapandikiza mentality kwamba hawa jamaa wana akili and they can do impossibles.
Now ukiisha watch mastar sita ambao ni mashoga unajikuta unazoea hio hali na unaona they are people like you. And till that point mtajikuta majority hamuoni tatizo someone to be gay.

Kila kitu kinaanza na kukitazama sana....the more you watch it you get to see it as a normal thing.

So yes tunatazama matendo na sio maudhui but all in all I do believe am in the right track.....do you???? Are you in the right track seeing your fellow man get banged????
I guess the answer is no.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom