Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ngoja nijilipue nq hizi wakuu maana nimekosa series ya kuangalia
Screenshot_20250902_130220_Chrome.jpg
 
Mr Miguel mmexico/mcolombia iyo Mobland Tom Hardy sijamuona akicheka ni moja ya movie ambayo ni kali kali kali sana kwa huu mwaka daaah aloooo season kali hii!!!
Nilipenda sana pale alipomwambia Eddie kuhusu bint yake

Kama ukionyesha tabia njema mm Nina accept mahusiano yenu

na hapo akijua kabisa lile toto livuta unga lilevi limeeingiza familia kwenye majanga makubwa hawezi kuwa husband material ,dogo aksbaki kaduwaa Kwa hofu 😁
 
Nilipenda sana pale alipomwambia Eddie kuhusu bint yake

Kama ukionyesha tabia njema mm Nina accept mahusiano yenu

na hapo akijua kabisa lile toto livuta unga lilevi limeeingiza familia kwenye majanga makubwa hawezi kuwa husband material ,dogo aksbaki kaduwaa Kwa hofu
Yule dogo muhun sana anamsikiliza bibi yake gangster wa zaman bibi yake akomswitch tu kajaa
 
Labda nahisi mahudhui ni Tofauti kidogo sema mobbland Iko na uhalisia Fulani hivi vile tunavyoushi
Yeah inauhalisia sana kwa upande wangu pia napenda sana movie za wahun kama vile Gangs of London

Kwenye Jackal bhana yule Bianca alinikera sana kujifanya shujaa na kauli zake za kibabe
 
Kuna horror nzuri tu kama final destination SAW na nyingine ni ya muda Kuna vijana walienda likizo sijui mnaita vakesheni kwenye mjengo mmoja uko porini wakafanyiana unyama dada mmoja akafanya revenge aliwaua sana.

Na Kuna nyingine
Texas chain saw
Hills have eyes
Drag me to hell


Baombeni top ten za horror zenye uhalisia Yani damudamu nyingi revenge watu wanakatana viungo za hivyo Yani na sio zile za kupata natanguliza shukrani
We jamaa kweli unajua best horror movie Kuna 13 sins nayo Kali sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom