Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nobody is somebody usiache kutizama hii movie
iyxwxDZCpIm0vIORaHpmgJv2BGF.jpg
 
Kaka mbele ya ( Terminal list;Dark Wolf ) utasahau Day of the jackal


Naisubiri kwa hamu MOBLAND kuliko DAY OF THE JACKAL
Apo kwenye Mobland tupo pamoja na nimesema juu apo Mobland ni kali kuliko the Jackal(kwa mtazamo wangu) ile The Day of the Jackal kama yule jamaa sniper angekufa pale mwisho movie yenu ningewaachia maana jamaa alinikosha sana..
 
Mission Impossible ✔️
Nobody 2 ✔️

Next- Bad Guys 2, F1

Kisha nitamaliza wiki na The Terminal List: Dark Wolf.
 
Ila Hunt na wenzie kwenye mission impossible wametudanganya sana..

Kwahiyo jamaa ame survive decompression sickness from that deeper?😁🙌

Btw.. movie ni kali mnoo!
 
Yeah inauhalisia sana kwa upande wangu pia napenda sana movie za wahun kama vile Gangs of London

Kwenye Jackal bhana yule Bianca alinikera sana kujifanya shujaa na kauli zake za kibabe
Bianca ndivyo alivyo mkuu nimemkuta kwenye movie ya james bond No time to die ya 2021 yaani baada ya jamaa ku retire huyo demu kawa 007 agent kaanza kumletea jamaa dharau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom