Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,241
- 79,799
Alikuwa shambani 😃anavuna mpungaInamaana Vincenzo Jr ulienda mwenyewe huko cinema bila kumualika Carleen?
Alikuwa shambani 😃anavuna mpungaInamaana Vincenzo Jr ulienda mwenyewe huko cinema bila kumualika Carleen?
Kuna ile acc ya "Dangerous Ai" kama ushaicheki jamaa anatengeneza interview za wachezaji na makocha wakiongea vitu vya kuchekesha ambavyo hawawezi kuviongea kwenye media, ukicheki video kama interview ya kweli kabisa, ipo kwenye IG, youtube na tik tokKama una Kumbuka kipindi Ethan ana ingia kwenye ile machine ya kuwasiliana na entity, ali ambiwa ita m control, na hakutakuwa na siri yoyote atakayo lificha.
1) ai imesha take control ya baadhi ya watu, kwa kuwafanya wali tegemee kwenye kila kitu.
Wengine mpk wana liita mpenzi, buddy.
2, ai ina kusanya data zako na kuzi tumia dhidi yako, imagine una ona google aki share na wewe vile vitu uli sema au zungumza nalo.
😂😂Inamaana Vincenzo Jr ulienda mwenyewe huko cinema bila kumualika Carleen?
😂😂Alikuwa shambani 😃anavuna mpunga
Yap, hiyo nayo ime zungumziwa kwenye m.impossible.Kuna ile acc ya "Dangerous Ai" kama ushaicheki jamaa anatengeneza interview za wachezaji na makocha wakiongea vitu vya kuchekesha ambavyo hawawezi kuviongea kwenye media, ukicheki video kama interview ya kweli kabisa, ipo kwenye IG, youtube na tik tok
hiyo ni ya kweli kabisa ukingia insta, youtube au tik tok ukisachi dangerous Ai utakuta video nyingi za interview za wachezaji ila maneno wanayoongea utacheka mwenyeweYap, hiyo nayo ime zungumziwa kwenye m.impossible.
Infact hata imesha anza kufanya kazi, mfano celebrity kadhaa video zime sambaa ziki onyesha waki fanya kitu fulani halafu kumbe siyo.
Infact kuna interview musk ali fanya na joe Rogan, ali zungumzia why ai should be limited.Kuna ile acc ya "Dangerous Ai" kama ushaicheki jamaa anatengeneza interview za wachezaji na makocha wakiongea vitu vya kuchekesha ambavyo hawawezi kuviongea kwenye media, ukicheki video kama interview ya kweli kabisa, ipo kwenye IG, youtube na tik tok
Hiyo ni sehemu ndogo ya balaa lenyewe, what if iki Anza kutumika kufanya propaganda ya baadhi ya mambo?.hiyo ni ya kweli kabisa ukingia insta, youtube au tik tok ukisachi dangerous Ai utakuta video nyingi za interview za wachezaji ila maneno wanayoongea utacheka mwenyewe
Ishakuwa available kwa free download ?Ushaicheki together?
Hyo session ni ya muda gani maana zipo nyingiInfact kuna interview musk ali fanya na joe Rogan, ali zungumzia why ai should be limited.
itafute iko pale joe Rogan podcast.
SIyo yeye tu, a couple of tech guys wame zungumzia hilo pia.
Yes, niliiona..ya zamani hioAngel Nylon najua utakuwa ushaiona "i know what you did last summer" vipi ni nzuri maana mtandaoni kuna mixed review
kuna hii mpya imetoka mwaka huu nahisi itakuwa ni remake ya hzo za zamani, nimeiona imbd wameipa rating ya 5.3 sasa sijui itakuwa ni nzuriYes, niliiona..ya zamani hio
Kuna na 'I still know what you did last summer ' nadhani kuna na muendelezo mwengine. Ni thriller..kama scream
OK...hio sijaionakuna hii mpya imetoka mwaka huu nahisi itakuwa ni remake ya hzo za zamani, nimeiona imbd wameipa rating ya 5.3 sasa sijui itakuwa ni nzuri
Search pale YouTube, why ai is a threat by elon musk mzeemHyo session ni ya muda gani maana zipo nyingi
SahihiExactly 💯 brother
Nilicheki juzi hata sio remake ila ni sequel ya ile I still know what you did last summer. Kuna vitu ni predictable ila ni mzurikuna hii mpya imetoka mwaka huu nahisi itakuwa ni remake ya hzo za zamani, nimeiona imbd wameipa rating ya 5.3 sasa sijui itakuwa ni nzuri