Series (Special thread)

Series (Special thread)

Daah. Telegram sina sasa. Kila nikijiunga Telegram sijawahi kujua napataje movies.
Nikifungua account telegram, ndani ya saa chache tu naalikwa kwenye party za Masha Love sijui nini...sijui ni ushamba ila sijawahi kufanikiwa kupata movie telegram.
Nenda kwenye search engine, andika jina la movie.

Kisha screen shot niku fundishe.
 
Dr. Mariposa nenda kacheki hizi ni za zamani ila ni nzuri, the messiah ni series
0ca17027df4fdbcdf47a8743afe5299e.jpg
06433fa87618d132ccd557960277504a.jpg
 
Tafuta Fargo, ila kwenye hii series kila season utakutana na character ambaye ana tatizo la kisaikolojia. Season ya nne kuna mdau hadi mlango wa gari anagonga mara tatu kabla ya kufungua😂
Sema Fargo Season 1 to 3 kwangu bora zaidi, na vile waandishi walivyotengeneza connection kati ya season 3 na 1 ndiyo imenifanya nizikubali zaidi.

Season 4 nilishindwa kumaliza, nahisi niipe muda nayo. 5 mzuri pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom