Series (Special thread)

Series (Special thread)

Haya haya mzigo ukitokea tukumbushane
1756361012726.jpeg
 
Mr Q wewe unataka tukuandame wewe huangaliii movie za kina SUPERMAN,BATMAN, movie za miujiza huangalii cha ajabu unazisifia movie za huyo babu SISU , sasa movie za SISU na hizo sci-fri zinatofauti gani
Mkuu. Wewe unaamini Kuna nyundo ikioigwa chini inageuka kitu kama bomu Yani inasfisha mtaa mzima kwa mawimbi na kishindo chake? Mi hizo za akina wonder woman hapana aisee. Angalia akina SISU unaona kabisa mtu anakula sululu la kichwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom