Series (Special thread)

Series (Special thread)

Guys,
Jana nimeangalia The Day of the Jackal kwa mara ya kwanza na kuimaliza yoooote, baada ya bro wangu kuisifia sana, kiukweli ilinikosha ila sasa nimebaki najiuliza pale Jackal alipoenda nyumbani kwa yule kaka, wakakulana nani alimla mwenzie!???🤣🤣🤣🙌🏻
Ubaya wa series za siku hizi, kuna series moja ya UK (Black Doves) ina rate ya 7+ imb, yaani inaanza episode ya kwanza,sterling anakamuliwa anapigwa miti nikaachana nayo.
 
fujo isiyoumiza
Screenshot (160).png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom