Series kalii sana 🔥Mbona kicheko ndugu Vincenzo Jr
Zipo kibao kaka kunaHivi kutatokea movie wametumia akili nyingi kama mission impossible??
Kama zipo zitaje hapa
akili nyingi kwa aina ipi sijaelewa hapo, kwenye kuindaa yani directing na zile stunts au kwenye idea ya storyHivi kutatokea movie wametumia akili nyingi kama mission impossible??
Kama zipo zitaje hapa
Idea ya story directing na stuntsakili nyingi kwa aina ipi sijaelewa hapo, kwenye kuindaa yani directing na zile stunts au kwenye idea ya story
No time to die ya james bond kaliZipo kibao kaka kuna
Hizi pia
Jason Bourne
Skyfall
Casino royale
Jack reacher
Spectre
Quantum of solace
No time to die
Ronin
Hizo na Kuna zingine nyingi sana
Nitaleta mrejeshoZipo kibao kaka kuna
Hizi pia
Jason Bourne
Skyfall
Casino royale
Jack reacher
Spectre
Quantum of solace
No time to die
Ronin
Hizo na Kuna zingine nyingi sana
Pamoja sana ndugu yangu ila hapo sio 47 ronin inaitwa ronin ya mwaka 1998Nitaleta mrejesho
Kumbe hukuwahi kuicheki casino royale ni bonge Moja la movie Kali sanaNitaleta mrejesho
Miaka hio nilikua mdogo sana😂 nimeanza kua addicted na movie miaka ya hivi karibuniPamoja sana ndugu yangu ila hapo sio 47 ronin inaitwa ronin ya mwaka 1998
Kumbe hukuwahi kuicheki casino royale ni bonge Moja la movie Kali sana
I download hiyo Kali sana yaani ukimaliza cheki na hii inayoitwa the departedMiaka hio nilikua mdogo sana😂
Hivi ntakuwa ni mimi tu kwa kuwa nafatilia sana mambo ya conspiracy theory mpaka yananichanganya😅 au wote mtakuwa mmeona story ya hii mission imposible fainal reckoning imekaa kama siku ya mwisho wa dunia, na the entity ni kama Anti christ alafu ethan ni kama the chosen one (mkombozi) wa watu wote 🤔 et Vincenzo Jr Mr Q Carleen Dr. Mariposa Intelligent businessmanIdea ya story directing na stunts
Exactly 💯 brotherHivi ntakuwa ni mimi tu kwa kuwa nafatilia sana mambo ya conspiracy theory mpaka yananichanganya😅 au wote mtakuwa mmeona story ya hii mission imposible fainal reckoning imekaa kama siku ya mwisho wa dunia, na the entity ni kama Anti christ alafu ethan ni kama the chosen one (mkombozi) wa watu wote 🤔 et Vincenzo Jr Mr Q Carleen Dr. Mariposa Intelligent businessman
Ushaicheki together?Hivi ntakuwa ni mimi tu kwa kuwa nafatilia sana mambo ya conspiracy theory mpaka yananichanganya😅 au wote mtakuwa mmeona story ya hii mission imposible fainal reckoning imekaa kama siku ya mwisho wa dunia, na the entity ni kama Anti christ alafu ethan ni kama the chosen one (mkombozi) wa watu wote 🤔 et Vincenzo Jr Mr Q Carleen Dr. Mariposa Intelligent businessman
Sa hio Nobody 1 hata nimeiona sasa 🤣
Itafute 😎Sa hio Nobody 1 hata nimeiona sasa 🤣
Cha uvivu mie
😎Itafute 😎
Nimeipenda sana hiyo avatar Yako mpya 😎