Series (Special thread)

Series (Special thread)

A
Scene yangu pendwa ni kipindi arya analipa kisasi kwa walder frey na wanajeshi wote waliohusika kwenye "the red weeding" na maneno aliyosema " if they ask you what happend here tell them The north remembers, tell them winter came for house frey"
Aisee tunatofautiana how we see things. Hiyo scene siyo Kali kwangu. Kaka ake na Arya did unforgivable mistake kupelekea anguko la the house Starks yule mchawi hana uongozi wowote wala startegis zaid ya uchawi. Mtu mjinga sana Rob. Mama ake amemlea kipuuzi puuzi na bado anamruhusu kwenda ktk house Frey na huku akimuacha mke alikuwa betrothed ktk nyumbani hiyo hiyo. Cercei being surrounded with kings and warrior hakuruhusu mwanaye yyte hata yule wa kike kuwa nje ya Westoros. Hapo scene nzuri ni ile mama mtu akiomba auliwe badala ya mwanae
 
Teen wolf my fav series, nimeirudia hadi nimeirudia tena,

Nijaribu kusikiliza huo wimbo?
Sawa nitajie
Ila scot walimfanya kuwa lelemama mno wakati ndio true alfa, mule mi nlikuwa nawakubali peter na stiles walikuwa wanachangamsha series na maria ndo alikuwa anafanya nipende zaidi😁😁, Ila kwa ujumla series za ma vampire, witch na wolf huwa naikubali The originlas
 
Ila scot walimfanya kuwa lelemama mno wakati ndio true alfa, mule mi nlikuwa nawakubali peter na stiles walikuwa wanachangamsha series na maria ndo alikuwa anafanya nipende zaidi😁😁, Ila kwa ujumla series za ma vampire, witch na wolf huwa naikubali The originlas
Kwa Scott namtetea kapambana kwa uwezo wake kumbuka ni Alpha lakini ni Teen, sijawahi kuchoka vituko vya Stiles jamaa alipatia sana mule pia chemistry yake na Scott ilikua bomba, anko Peter nae namkubali alikua ana vituko vyake flan lakini ndio hivyo kila mtu hua ana anko wake flan kama sio mlevi basi mtata😂 Dereck namkubali mnooo jamaa ana spirit, amepambania pack kiufupi yeye ndie alikua anamchaji Scott japo walikua hawa appreciate mchango wake,
Baada ya kifo cha Allison sikumkubali sana Maria, nilikua naupenda ubff wa Lydia na Allison, zile seasons 3 za mwanzo Lydia aliupiga mwingi sanaaa,

Kiufupi Teen Wolf haipoi wala haiboi, walijaribu kuleta movie yake haikufanya vizuri sana sababu ya kukosekana kwa Stiles na pia characters wameshakua wahenga, lol
 
Hello JF!!!
Meet ZENITSU AGATSUMA AKA Cha-Uvivu.


136760.jpg


Demon Slayer: Kimetsu No Yaiba, hii kazi imenyooka sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom