Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 3,989
- 10,395
Jenna OrtegaView attachment 3443666
Wednesday
Jenna OrtegaView attachment 3443666
Wednesday
Mtoto mzuri sana huyuJenna Ortega
Nakubali Sanaa huyo mtotoMtoto mzuri sana huyu
Huyu si ndo yule aliyekuwa kwenye movie ya the substance
Ni yeye kaka toto zuri sana hili umecheki na together inafanana na the substance hiviHuyu si ndo yule aliyekuwa kwenye movie ya the substance
Kali sanaView attachment 3442465
Episodes 2 mpaka sasa zipo hewani naanza nazo, nitaleta mrejesho.
Together sijaiona bado, ngoja nitaitafutaNi yeye kaka toto zuri sana hili umecheki na together inafanana na the substance hivi
Vipi huu mzigo safi?
Nzuri sana hiyoVipi huu mzigo safi?
Huu mzigo wenyewe, nimeuweka katika list ya top ten series zangu nzuri kama ifuatavyoVipi huu mzigo safi?
Mi peaky blinders, day of the jackal na breaking bad haziwezi kosa kwenye top 10Huu mzigo wenyewe, nimeuweka katika list ya top ten series zangu nzuri kama ifuatavyo
1. Vikings
2. Game of Thrones
3. Seal team
4. 68 Whiskey
5. The Americans
6. Billions
7. Startup
8. Fargo
9. Suits
10. BMF
Vipi huu mzigo safi?
Sisi watoto wa wakulima acha tusubiri baada ya washua nyie kuiangalia sisi tumalizie makombo
Peaky blinders, day of the jackal na breaking bad ni series kali sana ila nilivyoziangalia siwezi kuzirudia kabisa, tofauti na hizo hapo juu.Mi peaky blinders, day of the jackal na breaking bad haziwezi kosa kwenye top 10
Ni kama Bi Mwenda wa BongoMuvi😁View attachment 3442260
Bibi yenu wa kugombania vifungo vya gauni kafariki jana.
Tutamkumbuka na uchawi wake.
Umefika msimu wa ngapi?Leo rasmi naanza na The Walking Dead, nipo nayo kwenye list kwa muda sasa.
Najua ni marathon, season 11 si mchezo ila nimeona wengi walioiona wanaisifia.
Ushauri wowote kabla sijazama?
Kama Barry na yule mkewe 😃😀