Series (Special thread)

Series (Special thread)

The substance
20250818_205203.jpg
 
Huu mzigo wenyewe, nimeuweka katika list ya top ten series zangu nzuri kama ifuatavyo

1. Vikings
2. Game of Thrones
3. Seal team
4. 68 Whiskey
5. The Americans
6. Billions
7. Startup
8. Fargo
9. Suits
10. BMF
Number 1&2 sitaki kuzisikia hasa hiyo namba 2. Ngoja nifuatilie trailer ya hizo kuanzia 4,6,7,10. The Americans ilinishinda.
 
Peaky blinders, day of the jackal na breaking bad ni series kali sana ila nilivyoziangalia siwezi kuzirudia kabisa, tofauti na hizo hapo juu.

Sasahivi narudia GOT na Seal team kwa mara ya tatu😂😂
Kwanza uliwezaje kuimaliza peaky blinders na unawezaje kurudia GOT wakati Mimi niliishia episode ya 3 nikaikacha
 
Guys,
Jana nimeangalia The Day of the Jackal kwa mara ya kwanza na kuimaliza yoooote, baada ya bro wangu kuisifia sana, kiukweli ilinikosha ila sasa nimebaki najiuliza pale Jackal alipoenda nyumbani kwa yule kaka, wakakulana nani alimla mwenzie!???🤣🤣🤣🙌🏻
 
Hizi series sio taste yako, hapa nipo season 5 ya GOT nairudia 😂😂, then jioni naishusha Mission impossible nasikia ipo hewani😋
Nimeangalia upande wa quality naona wameandika IMAX WEB-DIL halafu Ina same as blue ray halafu Ina 3GB. Mimi hiyo format siitaki hapo Kuna kupigwa haitakuwa clear. nasubiri 1080p ambayo ni blue-ray.
 
Guys,
Jana nimeangalia The Day of the Jackal kwa mara ya kwanza na kuimaliza yoooote, baada ya bro wangu kuisifia sana, kiukweli ilinikosha ila sasa nimebaki najiuliza pale Jackal alipoenda nyumbani kwa yule kaka, wakakulana nani alimla mwenzie!???🤣🤣🤣🙌🏻
angalia na peaky blinders, au zero zero zero
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom